Kilio kipya walioungulia bidhaa Simu 2000

Dar es Salaam. Sakata la kuungua kwa Soko la Simu 2000, Ubungo jijini Dar es Salaam limeibua mahitaji tofauti miongoni mwa wafanyabiashara; wapo waliodai wako tayari kurudi sokoni hata kwa mitaji midogo iliyosalia, huku wengine wakisubiri huruma ya Serikali. Wakati wafanyabiashara wakiwa na mahitaji hayo tofauti, Serikali haijaweka wazi ni lini itatoa ruhusa kwa shughuli…

Read More

MAAFISA UGANI KUONGOZA MAPINDUZI YA KILIMO KILIMANJARO

****** Na Ashrack Miraji Torch Media   Serikali mkoani Kilimanjaro imeanza utekelezaji wa mkakati maalum wa kuwawezesha maafisa ugani kupitia mafunzo ya kitaalamu, ikiwa ni jitihada za kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo na kuongeza tija kwa wakulima. Hatua hiyo inalenga pia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na kuinua kipato cha wakulima katika…

Read More

TCAA YAANDAA IFTAR MAALUM KWA WATOTO WENYE UHITAJI

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeandaa futari maalum kwa watoto wenye uhitaji kutoka Kituo cha Kulea Watoto wenye Uhitaji cha Zili, tukio lililolenga kuimarisha mshikamano wa kijamii na kuendeleza ujumuishi kwa makundi yenye mahitaji maalum. Hafla hiyo ilifanyika katika Makao Makuu ya TCAA jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na wadau wa sekta…

Read More

WANAWAKE MABACHELA WAITWA KUCHUKUA FOMU YA KULIPIWA MAHARI

 Taasisi ya Al-Hikma imetangaza mpango wa kulipia mahari kwa vijana 130 walio tayari kuoa katika mwaka huu.  Akizungumza leo Machi 1, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa mashindano ya Kimataifa ya Qur’aan yaliyoandaliwa na taasisi hiyo, Mratibu wa taasisi hiyo Nurdin Sheikh Kishki amesema kuwa lengo ni kuwawezesha vijana kuingia kwenye ndoa kwa urahisi…

Read More

Chakula silaha ya siri dhidi ya maradhi

Dar es Salaam.​ Katika karne ya 21, ambapo kasi ya maisha imekuwa kubwa na magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari, shinikizo la juu la damu, na saratani yakishika kasi, jamii inapaswa  kuamka na kuchukua hatua stahiki. Leo  hospitali zimefurika, na gharama za matibabu zinazidi kupanda kila kukicha, jambo linalowafanya wataalamu wa afya na lishe kutoa wito wa…

Read More

Ceasiaa yaongeza nguvu benchi la ufundi

INAELEZWA Ceasiaa Queens imemwongeza aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma kukiongoza kikosi hicho kuelekea mzunguko wa pili wa Ligi ya Wanawake. Kabla ya kuifundisha Alliance Sultan alihudumu kwenye kikosi cha Geita Queens lakini timu haikufanya vizuri ikashuka daraja. Chanzo kililiambia Mwanaspoti Sultan amesajiliwa kama kocha mkuu kuchukua nafasi ya Ezekiel Chobanka ambaye…

Read More