Saratani ya utumbo yashika kasi, visababishi vyatajwa

Dar es Salaam. Wataalamu wa afya nchini wamesema saratani ya utumbo mpana, kitaalamu ikiitwa Colorectal Cancer, imeanza kuongezeka kwa kasi nchini, huku mabadiliko ya mtindo wa maisha yakitajwa kuwa sababu kubwa inayochangia ongezeko hilo. Miji mikubwa imetajwa kuwa hatarini, huku wataalamu wakisema ongezeko hilo linachangiwa zaidi na mabadiliko ya mtindo wa maisha, ikiwamo ulaji wa…

Read More

PROF. KABUDI AWAHIMIZA DIASPORA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA

::::::: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi, amewahimiza Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) kuendelea kuwekeza nchini na kushiriki kikamilifu katika juhudi za maendeleo ya taifa.  Amesema Watanzania walioko ughaibuni wana nafasi kubwa ya kuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi kupitia mitaji, utaalamu na uzoefu walioupata nje ya nchi. Prof….

Read More

Mzawa aja na jukwaa la suluhu kwa wabunifu na wasaka ajira

Suala la ukosefu wa ajira rasmi limekuwa likiumiza kichwa wengi, kuanzia kwa watu binafsi hata Serikali, lakini sasa Kwanzahub imekuja na suluhu ambalo hata kama sio la kumaliza tatizo lakini walau kupunguza na kuonyeshwa njia ya kutatua tatizo hilo. Suluhu hiyo inahusisha kutoa jukwaa la vijana kuonyesha mawazo yao ya kibunifu, kuyelea, kuyauza lakini ni…

Read More

Sh1.7 bilioni zanufaisha vikundi 165 vya wanawake Mbarali

Mbarali. Katika kuhakikisha wanawake wanawezeshwa kiuchumi, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya, imetoa zaidi ya Sh1.7 bilioni kwa vikundi 165 vya wanawake pekee. Hatua hiyo ni kutekeleza maelekezo ya Serikali, kuzitaka halmashauri nchini kutoa mikopo ya asilimia 10 kwa makundi ya wajasiriamali wadogo, kwa lengo la kukuza uchumi wa kipato. Kauli hiyo imetolewa…

Read More

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YARIDHISHWA NAMNA WANANCHI WANAVYOUTUMIA UMEME KUJILETEA MAENDELEO

📌 Umeme umewashwa kwa mara ya kwanza katika vitongoji viwili 📌 Zaidi ya Shilingi bilioni 60 zatumika kusambaza umeme kwenye vitongoji vya mkoa wa Shinyanga Kahama, Shinyanga📍 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na namna fedha za Bajeti ya Mwaka 2025/2026 zilizoidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinavyotumika…

Read More

Kadhi Mkuu Kenya Athibitisha Kuonekana kwa Mwezi, sikukuu ya Eid-ul-Fitr leo

Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Waislamu wa Afrika Mashariki wanatarajiwa kuadhimisha sikukuu ya Eid-ul-Fitr siku ya leo Ijumaa Machi 20, 2026  kufuatia kuonekana kwa mwezi mpevu jioni ya Alhamisi, tukio linaloashiria kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Nchini Kenya, Kaimu Kadhi Mkuu Sukyan Hassan alithibitisha kuwa mwezi huo umeonekana katika maeneo mbalimbali, huku…

Read More

Bashiri na Meridianbet Mechi za UEFA Leo

JE, unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaibuka na pesa ndefu ukibashiri mechi zako zote na Meridianbet?. Timu zinawania nafasi ya kufuzu hatua ya Robo Fainali zinakungoja. Jisajili sasa. Mechi itakayoanza ni hii ya Barcelona vs Newcastle United huku mechi ya kwanza walipokutana walitoa sare, ambapo vijana wa Hans Flick wakkisawazisha bado dakika za mwaisho…

Read More