Uchafu wazua taharuki mnada wa Maswa, wafanyabiashara walalamika
Maswa. Malalamiko ya wafanyabiashara na wananchi yameongezeka katika Mnada wa Maswa Mjini baada ya marundo ya taka kuonekana yakikaa kwa muda mrefu bila kuondolewa, hali inayodaiwa kuhatarisha afya za watu na kuharibu mazingira ya biashara katika eneo hilo. Licha ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kumpa mzabuni jukumu la ukusanyaji na uondoaji wa taka, wafanyabiashara…