RAIS MWINYI KUONGOZA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA QUR’AN DAR ES SALAAM

::::::: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mashindano Makubwa ya Kimataifa ya Qur’an Tukufu yatakayofanyika Jumapili, Machi 1, 2026. Katika mashindano hayo, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuwa Mgeni Maalum. Tukio hilo linasimamiwa na Alhikma Foundation. Akizungumza na waandishi wa habari katika…

Read More

Richardson Ng’ondya atangaza vita mpya Geita Gold

KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya amesema kufanya vizuri kwa washindani wao wakubwa msimu huu, ni jambo linalowaongezea morali ya kupambana zaidi, ili kwa pamoja wafikie malengo ya kuirejesha tena timu hiyo Ligi Kuu. Nyota huyo, amesemaubora wa benchi la ufundi na wachezaji wa kikosi hicho unawapa motisha ya kuipambania timu hiyo ili irejee…

Read More

Uwanja wa Mpaka kufungwa kupisha maandalizi AFCON 2027

SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Akizungumza katika mahojiano na gazeti la The Citizen, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,…

Read More

Ijue Historia ya Mwanamke Mbaya Zaidi Duniani

Katika historia ya dunia kuna hadithi nyingi ambazo zinaonyesha jinsi binadamu wanaweza kuvumilia maumivu makubwa kwa ajili ya wale wanaowapenda. Moja ya hadithi hizo ni ya Mary Ann Bevan, mwanamke kutoka Uingereza ambaye aliwahi kuitwa kwa jina la kikatili “mwanamke mbaya zaidi duniani.” Lakini nyuma ya jina hilo kulikuwa na ukweli tofauti kabisa hadithi ya…

Read More

Serikali yaridhishwa bei ya bidhaa mwezi wa Ramadhani

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imeridhishwa na mwenendo wa wafanyabiashara kuuza bidhaa kwa kuzingatia bei elekezi zilizowekwa na Serikali katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Februari 25, 2026 na Kaimu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Shariff Ali Shariff, alipofanya ziara ya kukagua…

Read More

Wema Sepetu Amzawadia Whozu Ujumbe Mtamu wa Mapenzi

Global Publishers March 11, 2026 0 Comments Mrembo na msanii wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu, amemuonyesha wazi mapenzi yake kwa mpenzi wake, Whozu, kupitia ujumbe wa kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa. Kupitia ukurasa wake wa Snapchat, Wema alimtakia Whozu heri ya kuzaliwa huku akiambatanisha na maneno ya mahaba yaliyoonyesha namna anavyomthamini katika…

Read More