Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 – Upinzani Kuliko Msukosuko – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Marco Longari/AFP Maoni na Inés M. Pousadela (montevideo, urugwai) Jumatatu, Machi 09, 2026 Inter Press Service MONTEVIDEO, Uruguay, Machi 9 (IPS) – Fikiria jinsi Siku ya Kimataifa ya Wanawake ilivyokuwa miaka michache iliyopita, na jinsi inavyoonekana sasa: tarehe hiyo hiyo, wakati uleule wa kimataifa wa kutafakari, lakini mandhari ya kimataifa iliyobadilika sana. Haki za…

Read More

Serengeti Apple Yanogesha Pasaka kwa Mandhari, Ladha na Vibe ya Kipekee Dar es Salaam

Bakari Mahundu April 8, 2026 0 Comments Kama sehemu ya maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka kote nchini, Serengeti Apple iliandaa premium brunch experience maalum mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Serena Hotel Dar es Salaam, ikiwapatia wageni waalikwa uzoefu wa kipekee ulioendana na shamrashamra za sikukuu hiyo. Likiwa limeandaliwa katika mazingira ya kifahari yenye mandhari…

Read More

Hukumu kesi ya wizi mafuta TPA kutolewa Jumatano

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 26, 2026 kutoa hukumu katika kesi ya wizi wa mafuta na kuharibu bomba la mafuta inayomkabili aliyekuwa dereva wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Tino Ndeketa (45) na wenzake saba. ‎Washtakiwa hao wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 30189 ya mwaka 2024 yenye mashtaka…

Read More

Mambo sita mwanao anayohitaji kuyasikia

Dodoma. Watoto wadogo ni watu kamili wenye hisia kama sisi watu wazima. Hata kama wakati mwingine hawawezi kusema wazi wazi, ukweli ni kwamba akili zao ni kama dodoki linalonyonya kimya kimya yale wanayoona tukiyasema na kuyatenda. Unaweza, kwa mfano, kusema jambo dogo kwa mtoto tena bila kumaanisha lakini jambo hilo likawa sumu itakayoharibu kabisa maisha…

Read More