Watu zaidi ya 500 Wauawa Iran Kwa Makombora Ya Marekani Na Israel – Video
Zaidi ya watu 555 wameuawa kufuatia mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Iranian Red Crescent Society iliyotolewa Jumatatu. Shirika hilo limesema mashambulizi yamelenga miji 131 kote nchini Iran, kuanzia miji mikubwa kama Tehran, Isfahan na Shiraz hadi maeneo ya kusini na magharibi mwa nchi. Kwa…