Kipigo chamzindua Nsajigwa Prisons | Mwanaspoti
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichokipata Tanzania Prisons dhidi ya Singida Black Stars juzi kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kimemwibua kocha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, baada ya kukiri umakini ndiyo sababu ya kukosa ushindi. Mechi hiyo iliyopigwa Kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini, Dodoma, Prisons ilitangulia kupata bao la penalti dakika ya tatu, kupitia…