Chadema yavunja ukimya bei ya mafuta, yataka mambo manne
Dar es Salaam. Wakati huduma mbalimbali zikiendelea kuathirika kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mapendekezo manne kuleta unafuu kwa wananchi katika huduma hiyo. Mapendekezo hayo ni Serikali kuweka ruzuku kwenye mafuta, kutangaza mpango wa dharura wa upatikanaji wa huduma hiyo, kuwepo kwa utaratibu wa uagizaji wake na…