Video: Marekani Yatangaza Mpango wa Kuchukua Udhibiti wa Anga ya Iran
Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema Marekani na Israel zinakusudia kuchukua udhibiti kamili wa anga ya Iran ndani ya muda mfupi, kama sehemu ya operesheni zao za kijeshi zinazoendelea. Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 4, 2026 Hegseth…