TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 5 YA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI

Leo Tanzania inaadhimisha miaka mitano tangu kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake wilayani Chato mkoani Geita nhuku Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa ameshawasili tayari kuongoza maadhimisho hayo ya kitaifa. Maadhimisho haya yanatarajiwa kupambwa na Misa Takatifu itakayofanyika…

Read More

Ulega aeleza jinsi Daraja la Mkuyuni lilivyonusuru watu

Mwanza. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkuyuni mkoani Mwanza kumeanza kuonesha matunda katika siku zake za awali. Akizungumza na wananchi baada ya ukaguzi wa daraja hilo leo Jumatatu, Machi 16, 2026, Waziri Ulega amesema wakazi wa Mwanza ni mashahidi wa hali hiyo, hasa kufuatia matukio ya karibuni ya…

Read More

Mfiduo dhidi ya Unyonyaji – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Umoja wa Mataifa Maoni na Bisma Qamar (new york) Jumatano, Machi 11, 2026 Inter Press Service NEW YORK, Machi 11 (IPS) – Mara nyingi nimeulizwa swali rahisi lakini muhimu: Je, tunawezaje kuifanya iwe endelevu ikiwa hatujafidiwa kwayo? Swali hilo linakaa katika kiini cha mazungumzo ambayo hatuzungumzi vya kutosha. Mahali fulani kati ya mfiduo na…

Read More