Aarafi ateuliwa kuiongoza Iran kwa muda

Tehran. Mwanazuoni wa Kishia na mjumbe wa Baraza la Walinzi, Alireza Arafi, amechaguliwa kuwa mwakilishi wa wanazuoni wa sheria katika Baraza la Uongozi la Muda la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, chombo kinachotarajiwa kushika majukumu ya kiongozi mkuu hadi atakapoteuliwa mrithi rasmi. Uteuzi huo umefanywa na Baraza la Utambuzi kufuatia taarifa za kuthibitishwa kwa kifo…

Read More

Moto wateketeza vibanda 20 Masai Market, Iringa

Iringa. Moto mkubwa umeharibu vibanda takribani 20 vya wafanyabiashara katika soko la Masai Market lililopo mjini Iringa. Tukio hilo limetokea katika eneo la Garden, lililopo mkabala na ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, baada ya kuzuka usiku wa kuamkia leo Machi 16, 2026, na umesababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wanaojishughulisha na biashara za utalii…

Read More

WATANZANIA SABA WAWASILI NCHINI KUTOKEA IRAN

Watanzania SABA waliokuwa nchini Iran wamewasili jijini Dar es Salaam Machi 13, 2026, kufuatia operesheni ya uokozi iliyoratibiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watanzania hao wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8:40 usiku kwa kutumia Shirika la Ndege la Uturuki, wakitokea nchini Uturuki ambako walipokewa awali…

Read More

Usikose! Nafasi 31 za Kazi Zatangazwa Halmashauri ya Liwale

Global Publishers March 21, 2026 0 Comments Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale ametangaza rasmi nafasi za kazi 31 kwa Watanzania wenye sifa, baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Tangazo hilo linahusisha nafasi katika kada tatu tofauti ambazo ni Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja…

Read More

SIASA ZA ULIMWENGU ZINAATHIRI NCHI ZA SADC

::::::: Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za pamoja kujinasua. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la SADC ambaye…

Read More

MAAFISA USHIRIKA WATAKIWA KUWA VINARA WA MAFANIKIO NCHINI.

Maafisa Ushirika wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kutumia ipasavyo elimu na maarifa waliyoyapata katika mafunzo maalum ili kuwa chachu ya mafanikio, uwajibikaji na maendeleo endelevu ndani ya vyama vya ushirika. Akifunga rasmi mafunzo ya wiki mbili ya kuwajengea uwezo maafisa hao katika masuala ya usimamizi wa vyama, Mrajisi Msaidizi anayeshughulikia Uhamasishaji, Masoko na Uwekezaji…

Read More

Wauza video za tamthilia, filamu walia na tozo, Serikali yaingilia kati

Mbeya. Wasambazaji na wauzaji wa movies, Muziki na Filamu jijini Mbeya wamelalamikia baadhi ya mawakala wanaopita kukusanya fedha kinyume na utaratibu, wakiomba serikali kuingilia kati ili kunusuru vibarua na usalama wao katika shughuli zao. Imeleezwa kuwa mawakala hao hujitambulisha kutoka Umoja wa wasambazaji Movies ‘Films Distributers’, ambapo hupita kila kibanda kukusanya Sh10,000 kwa kila wiki,…

Read More

SERENGETI APPLE YANOGESHA PASAKA KWA MANDARI, LADHA NA VIBE YA KIPEKEE JIJINI DAR ES SALAAM

  ****** Kama sehemu ya maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka kote nchini, Serengeti Apple iliandaa premium brunch experience maalum iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, ikiwapatia wageni waalikwa uzoefu wa kipekee unaoendana na ari ya shamrashamra ya sikukuu. Likiwa limeandaliwa katika mazingira ya kifahari yenye mandhari tulivu na mpangilio…

Read More

Majeraha yavuruga mipango ya Yanga kutetea ubingwa

UNA mabao ya Yanga yapo nje kutokana na mitambo ya mabao kupata majeraha na kupewa muda wa kupumzika ili kutibiwa irejee kwenye ufiti. Kukosekana kwao kumechambuliwa na watalamu jinsi inavyoleta athari hasi. Katika mechi 15 Yanga imeshinda 11, sare nne, inamiliki mabao 31, imefungwa mawili, ina pointi 37. Kati ya mabao hayo Prince Dube kafunga…

Read More