Maafisa wa Mrekani na Ukraine wameanza mazungumzo nchini Saudi Arabia

Maafisa wa Marekani na Ukraine wameanza mazungumzo leo Jumanne nchini Saudi Arabia huku upande wa Ukraine ukitarajiwa kuwasilisha sehemu ya mpango wa kusitisha mapigano na Russia. Mpango wa Ukraine unajumuisha kusitisha mafanikio ya makombora ya masafa marefu na sitisho la linalohusisha Black Sea. Hata Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy hakushiriki katika mikutano ya Jumanne, huku…

Read More

TWCA yagawa vitabu kuhamasisha masomo ya biashara

Dodoma. Katika juhudi za kuimarisha elimu na kuwajengea wanafunzi msingi imara wa taaluma za biashara, Chama cha Wanawake Wahasibu Tanzania (TWCA) kimetoa msaada wa vitabu 310 vya masomo ya biashara kwa Shule ya Sekondari Chinangali. Hatua hiyo imekuja kama mwanga mpya kwa wanafunzi waliokuwa wakikabiliwa na changamoto ya uhaba wa vitabu, hali iliyokuwa ikiathiri uelewa…

Read More

TRA United v Yanga mechi za kimkakati

MSAKO wa pointi tatu kwa Yanga unaendelea leo huku ikiwa na wimbi kubwa la mastaa majeruhi ambapo wameongezeka wengine wanne na kufikia sita, baada Clement Mzize na Dickon Job kuwa nje. Yanga inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 36, leo ni mgeni wa TRA United, mechi ikichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid…

Read More

Soko jipya Kawe lakamilika, wafanyabiashara kicheko

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa Soko la Kawe wameanza kupata matumaini mapya baada ya Serikali kutangaza kukamilika kwa ujenzi wa soko jipya la muda kufuatia soko la awali kuteketea kwa moto. Hatua hiyo inatarajiwa kuwapa nafuu wafanyabiashara waliopoteza maeneo yao ya biashara kwa tukio la moto kwa sasa kuwaruhusu kuingia eneo lililoboreshwa kuendelea na shughuli…

Read More

Wataalamu wataja sababu ongezeko la mafua, Uviko-19

Dar es Salaam. Wakati Wizara ya Afya ikitoa tahadhari kwa wananchi kufuatia ongezeko la wagonjwa wa mafua makali na Uviko-19 nchini, wataalamu wa afya wameeleza sababu za kuongezeka kwa maambukizi hayo katika kipindi hiki. Aidha, wataalamu hao wametaja makundi yaliyo hatarini zaidi na kusisitiza umuhimu wa kupata matibabu stahiki mapema, badala ya kujitibu bila ushauri…

Read More

Simba, Yanga zapigana vikumbo saini ya Fofana

YANGA jana usiku ilikuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa ikipambana kwenye Dar es Salaam Dabi dhidi ya wenyeji wa Azam FC lakini kuna vurugu mabosi wao wameifanya nchini Ivory Coast itakayomfanya mtani wake Simba kujipanga sawasawa kivita. Mabosi wa Yanga wamevamia pale ASEC na wamepima maji na kuona yule mshambuliaji Souleyman Fofana anawafaa kwa matumizi ya…

Read More

Saida; Nahodha wa Mv Ilemela aliyeigusa jamii kipekee

Mwanza. Imezoeleka masikioni mwa watu kuwa, mwanamke ni nguzo ya jamii, lakini unapomuona Saida Khailallah akiwa kwenye usukani wa kivuko katikati ya mawimbi ya Ziwa Victoria, unagundua kuwa msemo huo una maana pana zaidi. Si nguzo tu ya jamii yake, bali ya ujasiri, uthubutu na mabadiliko ya fikra katika jamii inayojifunza kuwa uwezo haupimwi kwa…

Read More

Singida BS yamalizana na kocha Mkongo

SINGIDA Black Stars imemalizana na kocha Papi Kimoto anayetua kuifundisha timu hiyo ambayo hivi karibuni ilitangaza kuvunja benchi lote la ufundi. Kimoto, raia wa DR Congo anatua Singida BS baada kuachana na Union Maniema iliyoishia hatua ya 16 bora katka Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu. Taarifa kutoka nchini DR Congo ni kwamba, juzi usiku…

Read More