CCM YATOA MAPENDEKEZO MAZITO KULINDA WANANCHI

…….. Na Carlos Claudio, Dodoma. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka serikali kuchukua hatua za haraka na madhubuti kulinda uchumi wa wananchi kufuatia kupanda kwa bei za mafuta nchini na duniani kwa ujumla. Akizungumza na waandishi wa habari Aprili 7, 2026 jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Kihongosi, amesema chama hicho…

Read More

La Niña Inafifia, Wataalamu wa WMO Wanaonya Kwamba El Nino Inaweza Kuweka Rekodi Mpya za Joto Ulimwenguni – Masuala ya Ulimwenguni

Shule ya Bula Central mjini Bula, Camarines Sur, Ufilipino, imesalia na mafuriko wiki moja baada ya Tropical Storm Trami kuleta mvua kubwa na upepo mkali katika sehemu kubwa ya nchi mnamo 2024. Mifumo ya hali ya hewa kali kama hii inaonyesha aina ya hatari za hali ya hewa zinazohusishwa na ongezeko la joto la bahari…

Read More

Shule ya Tanzania Yazindua Klabu ya Nishati Kukuza Upikaji Safi – Masuala ya Ulimwenguni

Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, akipika wakati wa uzinduzi wa mradi wa kusambaza nishati safi ya kupikia katika taasisi zinazohudumia zaidi ya watu 100 zikiwemo shule 52 za ​​sekondari. Credit: Kizito Makoye/IPS by Kizito Makoye (dodoma, tanzania) Jumatano, Machi 11, 2026 Inter Press Service DODOMA, Tanzania, Machi 11 (IPS) – Wingu la mvuke linapanda…

Read More

Hizi Hapa Changamoto Za Kuchanganya Mapenzi Na Kazi

NI wiki nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu kwenye ukurasa huu, mada tunayoendelea nayo ni ile tuliyoianza wiki iliyopita, ya namna ya kukabiliana na changamoto za kuchanganya mapenzi na kazi. Jambo la msingi unalopaswa kulitambua, siku zote mapenzi na kazi ni vitu ambavyo havitakiwi kuchanganywa, kama unafanya kazi na mwenzi wako, basi mkiwa kazini ni mfanyakazi mwenzako…

Read More

Vijana 3,967 waomba fedha kuendeleza biashara zao

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imepokea maombi 3,967 kutoka kwa vijana wajasiriamali nchini kupitia mradi wake wa Go Green na Imbeju ili wapate mitaji ya kuendeleza mawazo yao ya kibunifu, huku mikoa 10 ikiwa kinara, ikiwemo Dar es Salaam na Mwanza. Programu hiyo ilizinduliwa Februari 12 mwaka huu ikiwa na lengo la kuwawezesha vijana…

Read More