Kihongosi aonya viongozi wa CCM wanaodhulumu wananchi

Itilima. Mwananchi wa Kijiji cha Lagangabilili wilayani Itilima, mkoani Simiyu, Mzee Majija Madata amewasilisha malalamiko kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akidai kudhulumiwa shamba lake na mmoja wa viongozi wa CCM katika ngazi ya wilaya mkoani Shinyanga. Kihongosi yupo mkoani Simiyu tangu Machi 7, 2026 kwa ziara…

Read More

Mjadala mzito Biya kumteua mwanaye Makamu wa Rais

Dar es Salaam. Hatua ya Rais wa Cameroon, Paul Biya, amemteua mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa makamu wake, jambo ambalo limeibua mjadala kuhusu mipaka ya uongozi wa kifamilia na athari zake kwa uwajibikaji wa umma katika mifumo ya kisiasa barani Afrika. Hatua hiyo imekuja kufuatia mabadiliko ya katiba yaliyorejesha nafasi ya Makamu wa Rais katika…

Read More

FIFA Yapendekeza Kadi Nyekundu Kwa Wachezaji Wanaofunika Midomo

Global Publishers March 3, 2026 0 Comments Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amependekeza kwamba wachezaji wanaofunika midomo yao wakati wa mabishano uwanjani wapewe kadi nyekundu moja kwa moja. Kauli hii inatokana na hofu kwamba tabia hiyo inaweza kuashiria kauli zisizofaa, hasa zinazohusiana na ubaguzi wa rangi. Pendekezo la Infantino limekuja baada ya tukio lililomkumba nyota…

Read More