Mashambulizi dhidi ya masinagogi, kuendelea kukiuka haki za Syria, unyanyasaji wa kushangaza wa wanawake wakati wa kujifungua – Masuala ya Ulimwenguni

Huko Ubelgiji, mlipuko mkubwa Jumatatu nje ya sinagogi la kihistoria huko Liege ulisababisha uharibifu mkubwa. Masinagogi matatu kote Kanada yalishambuliwa kwa risasi tofauti wiki iliyopita. Huko Merika, mshambuliaji alipigwa risasi na kufa baada ya kugonga lori lao kwenye sinagogi na shule yake ya mapema huko Michigan mnamo Alhamisi. Inasemekana kuwa amepoteza wanafamilia wake katika shambulizi…

Read More

Maison des Talibés Yakabiliana na Unyanyasaji wa watoto wa ‘Talibé’ nchini Senegal – Masuala ya Ulimwenguni

Mamadou Ba, rais na mwanzilishi wa Maison des Talibés, anazungumza na talibés huko Saint-Louis, Senegal, kwenye sherehe za ufunguzi wa kituo cha shirika mnamo Januari 1, 2026. Kwa Hisani: Ramata Haidara na Megan Fahrney (mtakatifu-louis, senegal) Ijumaa, Februari 27, 2026 Inter Press Service SAINT-LOUIS, Senegal, Februari 27 (IPS) – Unapotembea katika mitaa ya miji ya…

Read More

Serikali kutoa Sh8.1 bilioni kurejesha vivuko, madaraja Serengeti

Serengeti. Serikali imesema itatoa Sh 8.1 bilioni kwa ajili ya kurejesha vivuko na madaraja saba yaliyoharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha ambazo zimeharibu miundombinu hiyo katika Hifadhi ya Taifa Serengeti. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema hayo leo Jumapili Machi 8, 2026 akizungumza katika Kivuko cha Mto Banagi, kilichopo hifadhini humo baada…

Read More

Mwenyekiti wa CCM Itilima afariki dunia

Simiyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja amefariki Machi 18, 2026 huku CCM ikimtaja kama kiongozi shupavu na mwadilifu. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Machi 20, 2026 na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, imeeleza kuwa chama kimepoteza kiongozi shupavu, mwadilifu na…

Read More

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Kamoto Afanya Ziara ya Mradi wa Ukarabati Shule ya Msingi Kiromo

MKURUGENZI Mtendaji wa Airtel Tanzania, Charles Kamoto, pamoja na viongozi wengine wa kampuni, hivi karibuni walifanya ziara katika Shule ya Msingi Kiromo ili kuangalia maendeleo ya mradi wa ukarabati unaofadhiliwa na Airtel Tanzania. Mradi huu unaonyesha dhamira ya Airtel katika kuboresha mazingira ya kujifunzia na kusaidia elimu katika jamii wanazofanyia kazi. Wakati wa ziara, timu…

Read More

MAAFISA UGANI KUONGOZA MAPINDUZI YA KILIMO KILIMANJARO

****** Na Ashrack Miraji Torch Media   Serikali mkoani Kilimanjaro imeanza utekelezaji wa mkakati maalum wa kuwawezesha maafisa ugani kupitia mafunzo ya kitaalamu, ikiwa ni jitihada za kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo na kuongeza tija kwa wakulima. Hatua hiyo inalenga pia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na kuinua kipato cha wakulima katika…

Read More

Takukuru yashtuka mamilioni ya fedha za walimu Mwanza

Mwanza. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kudhibiti Sh85 milioni zilizokuwa zimecheleweshwa kutolewa kwa walimu wapya 77 wa shule za sekondari katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa miezi sita. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Februari 25, 2026 Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mwanza, Abnery Mganga amesema…

Read More

Naibu Waziri Kihenzile Ashiriki Mkutano wa Uchukuzi Afrika Kusini

Bakari Mahundu March 19, 2026 0 Comments Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Masuala ya Uchukuzi (NCT) uliofanyika katika Ukumbi wa Gallagher Estate, Johannesburg, Afrika Kusini. Mkutano huo ulifunguliwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Sambamba na ushiriki huo, Naibu Waziri pia amehudhuria Mjadala wa Mawaziri wa Uchukuzi ukiwa…

Read More