WANANCHI ZAIDI YA 13,000 WANUFAIKA NA SAMIA ARDHI KLINIKI NCHINI
Na Munir Shemweta, WANMM MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Leonard Akwilapoamesema jumla ya wananchi 13,550 wamejitokeza kupata huduma mbalimbali za sekta ya ardhi kupitia Samia Ardhi Kliniki iliyofanyika katika mikoa yote 26 nchini. Dkt. Akwilapo amesema hayo wakati akifunga rasmi Samia Ardhi Kliniki katika viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara tarehe 7…
TRA KUWEKA UTARATIBU MPYA WA KUTOA VIBALI VYA KUINGIZA MAFUTA YA KUPIKIA TANZANIA BARA
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Mamlaka hiyo itaanzisha utaratibu mpya wa kuingiza mafuta ya kupikia Tanzania Bara kutoka Zanzibar ili kuwezesha kufanyika kwa biashara halali ya mafuta hayo na kuzuia mafuta ya magendo kuingizwa nchini. Akizungumza na wafanyabiashara wanaoagiza mafuta ya kupikia nje ya nchi kupitia Visiwani…
Twiga Stars kurejea leo | Mwanaspoti
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Twiga Stars, kinarejea leo kutokea Falme za Kiarabu kilipokita kambi kwa ajili ya kujiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026. Twiga Stars ilikuwa UAE ikishiriki mashindano ya kujipima nguvu ya Pink Ladies Cup ambayo yalikuwa ni maandalizi ya WAFCON 2026 yaliyotarajiwa kuanza…
Wananchi Dar Wahimizwa Kutumia Fursa ya Samia Ardhi Kliniki
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameiomba Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kusimamia kikamilifu utoaji wa hati za ardhi ili kuhakikisha zinazingatia taratibu na mipango miji, akisema kuwa uzembe katika mchakato huo unachangia kuongezeka kwa migogoro ya ardhi. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa programu ya Samia Ardhi…
Chalamila avalia njuga matukio ya utapeli Dar
Dar es Salaam. Kama wewe sio mwenyeji wa Mkoa wa Dar es Salaam na unataka kununua ardhi, magari au kuchukua mkopo wa fedha, chukua tahadhari, kwani Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametaja maeneo hayo kuongoza kwa matukio ya utapeli. Chalamila amesema waathirika wakubwa wa migogoro hiyo ya ardhi mkoani humo ni…
DKT.JAFO ARIDHISHWA NA KASI YA MKANDARASI MRADI WA MAJI NYANI
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, Selemani Jafo, ameonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji katika Kijiji cha Nyani, Kata ya Mafizi, akieleza kuwa hatua iliyofikiwa inaleta matumaini mapya kwa wananchi. Mradi huo unaotekelezwa na kampuni ya BROADWAYS ENGINEERING CO LTD una thamani ya shilingi milioni 402.8 na hadi sasa umefikia…
UNDP, UINGEREZA WATOA TSH MILIONI 70 KUIMARISHA BIASHARA BUNIFU ZA WANAFUNZI
::::::::: Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania) kwa kushirikiana na Serikali ya Uingereza kupitia Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO), wametoa zaidi ya Shilingi milioni 70 kama mtaji wa awali kwa biashara bunifu zilizoanzishwa na wanafunzi wa vyuo vikuu nchini. Msaada huo umetolewa katika msimu wa pili…
NELLA ANNOUNCES NEW SINGLE “LUKAKU” — THE AFROFUSION ANTHEM THAT POSITIONS HER AS ONE TO WATCH
Cameroon-born, LA-raised Afrofusion artist releases her most personal work yet — a mid-tempo empowerment anthem produced by acclaimed producer Mystro Sugar and mixed by Grammy-nominated mixing engineer Giggz LOS ANGELES, CA — March 6, 2026 — Nella, the Cameroonian-born, Bamiléké Afrofusion artist raising from Los Angeles and Houston, today announces the release of her new…
FORLAND YAHAMASISHA MATUMIZI YA MITI MINGINE YA ASILI
Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv WIZARA ya Maliasili na Utalii, kupitia mradi wa FORLAND, imesema inaendelea kuhamasisha matumizi ya miti mingine ya asili tofauti na inayojulikana sasa ya Mninga na Mkongo. Akizungumza na waandishi wa habari katika maonyesho ya siku misitu, yanayoendelea kwenye viwanja vya Ilulu vilivyopo Manispaa ya Lindi, mkoani humo, Afisa misitu na…