Marekani na mtindo mpya kung’oa, kuweka watawala

Marekani mbabe wa dunia, mwamuzi wa mustakabali wa taifa lolote. Hivyo ndivyo unaweza kulielezea taifa hilo lenye nguvu kubwa ya kijeshi, kiuchumi na hata kiteknolojia, mambo yanayoifanya kuwa juu zaidi ya nyingine. Kwa miongo mingi tangu vita ya pili ya dunia, Marekani ilipata nguvu kubwa zilizoiwezesha kufanya uamuzi kwa niaba ya Mataifa mengine, jambo ambalo…

Read More

Mapinduzi ya Kahawa Mbinga Yawanufaisha Wakulima, Wawapongeza Wadau huku Wakiahidi Uzalishaji zaidi.

 Wakulima wa zao la kahawa wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma wameonyesha matumaini makubwa na jitihada pamoja na mikakati ya uboreshaji wa kilimo cha zao hilo wilayani humo huku wakiwashukuru wadau mbalimbali likiwemo serikali na shirika lisilo la kiserikali la Hanns R. Neumann Stiftung (HRNS) kwa jitihada zake hususani kwenye utoaji wa mafunzo ya mbinu bora za…

Read More

Epuka Makosa Haya 9 Unaponunua Blueberries

Global Publishers April 7, 2026 0 Comments Matunda ya blueberries ni miongoni mwa vyakula vinavyopendwa sana wakati wa msimu wa joto, si tu kwa ladha yake tamu bali pia kwa faida zake kiafya kama kusaidia kumbukumbu, kupunguza shinikizo la damu na kuwa na kiwango kidogo cha kalori. Hata hivyo, wataalamu wa lishe wanaonya kuwa watu…

Read More

Ufugaji watajwa chanzo cha magugu maji Ziwa Victoria

Dodoma. Bodi ya Maji ya Bonde la Ziwa Victoria imeeleza kuwa shughuli za kibinadamu, hususan ufugaji, ndicho chanzo kikuu cha magugu maji katika Ziwa Victoria. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa, Machi 6, 2026, na Mkurugenzi wa Bodi ya Maji wa Bonde la Ziwa Victoria, Dk Renatus Shinhu, wakati akielezea shughuli zinazofanyika katika bonde hilo. Dk…

Read More

Fountain Gate yazitaka mechi za nyumbani Ligi Kuu

FOUNTAIN Gate imesema tatizo la timu hiyo kutokuwa na matokeo mazuri ni kutokana na ufinyu wa kikosi chake na mechi nne zijazo ikiwamo dhidi ya Simba itakazocheza nyumbani ndizo zitaamua zaidi hatma yao. Hata hivyo, imesisitiza mechi hizo dhidi ya Simba, Mtibwa Sugar, Dodoma Jiji na Coastal Union zitakuwa za kufa au kupona kuhakikisha hawapotezi…

Read More

Sichone aanza kufunga UAE | Mwanaspoti

WINGA Mbongo Morice Sichone anayeitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ya Falme za Kiarabu ameanza vizuri akifunga mabao mawili licha ya hali ya taharuki inayosababishwa na machafuko ya vita yanayoendelea katika baadhi ya maeneo ya Mashariki ya Kati. Nyota huyo alijiunga na Gulf akitokea Trident FC ya Zambia alipocheza mechi 18 akifunga mabao…

Read More