Nani Kwenda Robo Fainali UEFA Leo?

  LEO ni leo asemaye kesho muongo, Huu ni msemo ambao Wahenga walimaanisha kuwa jambo linalotakiwa kufanyika leo limailzike leo, na Meridianbet wanakwambia pesa inapatikana kwenye mechi za Uefa leo hivyo ingia na ubeti hapa. Mapema kabisa Sporting Lisbon atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Bodo/Glimt ambao walishinda mechi yao ya kwanza walipokutana. Mlima ni mrefu wa kushinda…

Read More

Ceasiaa yapania pointi 18 nyumbani

KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu hiyo ni kuvuna pointi 18 katika mechi sita za nyumbani zilizosalia ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kumaliza nne bora. Ceasiaa iko nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi ikikusanya pointi nane kwenye mechi 11 ilizocheza, ushindi mara mbili, sare saba na kupoteza mbili. Akizungumza…

Read More

SUNI BHARTI MITTAL ATUNUKIWA TUZO YA MAISHA YA GSMA KWA MAGEUZI YA SEKTA YA MAWASILIANO DUNIANI.

New Delhi, Machi 2, 2026: GSMA imemtunuku Tuzo ya Maisha (Lifetime Achievement Award) Sunil Bharti Mittal, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterprises, kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kubadili na kuunda upya taswira ya mawasiliano ya simu duniani pamoja na kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano kwa waendeshaji, serikali, biashara na mabilioni ya…

Read More

ALIPWA FIDIA YA SH. 7M KWA KUHARIBIWA JIKO, UKUTA

*Ni baada ya kueleza kero yake kwa Waziri Mkuu JITIHADA za Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kusikiliza kero za wananchi zimezaa matunda ambapo mkazi wa Kata ya Baraa jijini Arusha, Bi. Agnes Simon Laizer alilipwa fidia ya sh. milioni 7 na mmiliki wa shule ya Nariva Hill (jirani yake) ambaye alikuwa ameharibu jiko na ukuta…

Read More

Jamhuri ya Afrika ya Kati yaingia katika awamu ya ‘maamuzi’ baada ya uchaguzi wa kihistoria – Masuala ya Ulimwenguni

Muhtasari wa Baraza la Usalama Jumatano, Mwakilishi Maalum Valentine Rugwabiza alisema uchaguzi wa tarehe 28 Disemba 2025 uliashiria “hatua muhimu katika uimarishaji wa mchakato wa amani na mamlaka ya Serikali.” Uchaguzi wa pamoja wa rais, wabunge, mikoa na manispaa – ikijumuisha kura za kwanza za manispaa tangu 1988 – ziliwakilisha “oparesheni kubwa zaidi za uchaguzi…

Read More