Beti Mechi za EUROPA na Odds Tamu za Meridianbet

Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani machaguo ni mengi hapa. Fenerbahce atamualika kwake Nottingham Forest kutoka kule Uingereza na takwimu zinaonesha kuwa hawa wawili hawajawahi kukutana hivyo hii ndio mara yao…

Read More

Mkuu wa Umoja wa Mataifa anajibu maswali magumu katika ukumbi wa townhall pamoja na mashirika ya kiraia ya wanawake – Global Issues

“Ninyi ni watikisa msingi,” UN Katibu Mkuu Antonio Guterres aliuambia mkutano wa kila mwaka wa townhall na watetezi wa haki za wanawake – ambao unaendelea hadi 19 Machi – “na unatikisa haki, utu na usawa kwa jamii kote ulimwenguni.” Akiangazia kukosekana kwa usawa wa madaraka, ikiwa ni pamoja na katika siasa, uchumi na teknolojia zinazoibukia…

Read More

WANANCHI WAHAMASISHWA UPANDAJI MITI WAKATI HUU WA MVUA

  …….. Balozi wa mazingira wa kujitolea Moses Mwakibolwa amewahamasisha wananchi kutumia mvua zinazoendelea kunyesha kupanda miti ili kulinda ikolojia na kupunguza athari za uharibifu wa mazingira nchini. Mwakibolwa amesema wananchi wanapaswa kujenga utamaduni wa kupanda miti kila kunapotokea unyevunyevu ardhini ili kuongeza kasi ya upandaji miti na kulinda mazingira kwa manufaa ya kizazi cha…

Read More

ALIPWA FIDIA YA SH. 7M KWA KUHARIBIWA JIKO, UKUTA

*Ni baada ya kueleza kero yake kwa Waziri Mkuu JITIHADA za Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kusikiliza kero za wananchi zimezaa matunda ambapo mkazi wa Kata ya Baraa jijini Arusha, Bi. Agnes Simon Laizer alilipwa fidia ya sh. milioni 7 na mmiliki wa shule ya Nariva Hill (jirani yake) ambaye alikuwa ameharibu jiko na ukuta…

Read More

Cambodia Yazindua Sanamu ya Kumheshimu Panya Mzaliwa wa Tanzania anayenusa Magawa — Masuala ya Ulimwenguni

Fundi akifanya mguso wa mwisho kwenye mnara wa Magawa, panya wa kunusa bomu mzaliwa wa Tanzania. Credit: APOPO by Kizito Makoye (morogoro, tanzania) Jumanne, Aprili 07, 2026 Inter Press Service MOROGORO, Tanzania, Aprili 7 (IPS) – Katika kijiji cha Mazimbu, si mbali na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) nchini Tanzania, Stephano Jaka bado…

Read More