Vigogo wa Iran waliouawa na Marekani-Israel

Kufuatia kuthibitishwa kwa mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, vyombo vya habari vya serikali nchini humo vimethibitisha kuuawa kwa viongozi kadhaa waandamizi wa serikali na familia ya Khamenei. Miongoni mwa waliouawa katika shambulizi la Jumamosi ni pamoja na Ali Shamkhani, mshauri wa usalama wa Khamenei, Jenerali Abdolrahim Mousavi, Mkuu wa Majeshi ya…

Read More

Tausi FC wala haiwazi ubingwa, mipango ni hii

TAUSI FC imemtambulisha Baraka Kilasi kama moja ya makocha watakaounda benchi la ufundi akiungana na makocha wengine Wajerumani wawili ambao ni Paul Gomez na Martin. Kilasi ambaye ana uzoefu mkubwa katika ukocha amewahi kuwa kocha msaidizi wa Simba SC U20, Tazara FC ya Zambia na Young Boys FC inayoshiriki ligi kuu ya Zambia. Akizungumza na…

Read More

Wakulima kurahisishiwa upatikanaji wa mbegu bora

Dar es Salaam. Tanzania imelenga kuongeza tija ya uzalishaji wa kilimo katika mazao 13 ya kimkakati baada ya kusainiwa kwa makubaliano yanayolenga kuhakikisha wakulima wote walio katika vyama vya ushirika wanapatiwa mbegu bora na zenye tija kwa wakati. Mkataba huo wa makubaliano wa miaka mitano uliosainiwa kati ya Shirikisho la Vyama Vya Ushirika Tanzania (TFC)…

Read More

Rais Mhe. Dkt. Samia awasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tarehe 06 Machi, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia amewasili…

Read More

Rais Samia atoa Bilioni 15 Maboresho Shule ya Polisi Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu,Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa  Shilingi Bilioni 25 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa wakati wa Kikao cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi kilichofanyika mwaka 2024 lengo ikiwa kuifanyia maboresho Shule cha Polisi Kilimanjaro ambacho kinakabiliwa na uchakavu wa Majengo ambayo yalijengwa tangu  mwaka 1933…

Read More

DPP amfutia kesi Tumaini aliyedaiwa vitu vya Sh1.5 bilioni

‎Dar es salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumuachia huru, mshtakiwa Tumaini Moshi (33) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini ( DPP), kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yake. Mshtakiwa huyo alikuwa anakabiliwa na shtaka moja la unyang’anyi wa kutumia silaha…

Read More

Nafasi za Kazi 27 kwa Wataalamu wa Hesabu, TEHAMA, Uhandisi na Sekta Nyingine

Global Publishers February 28, 2026 0 Comments Dodoma, Tanzania – Cereals and Other Produce Board of Tanzania (COPBT) kwa kushirikiana na Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) imetangaza nafasi 27 za kazi kwa Wataalamu wa ndani wenye uadilifu, uthubutu na weledi. Nafasi hizi zinahusisha sekta mbalimbali ikiwemo hesabu, TEHAMA, uhandisi, upimaji wa mazao, ubora wa bidhaa,…

Read More

Simba, Yanga zarudishwa tena Zanzibar, kukichafua Aprili 21

ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Yanga na Simba kutoka kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika bila kufungana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, timu hizo zimetajwa kati ya nane zinazotarajiwa kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2026. Kwa kutajwa huko, timu hizo zinatarajiwa kurejea tena Zanzibar kusaka heshima baada ya kushindwa kutambiana…

Read More