Peter Lwasa aahidi makubwa Pamba Jiji

KIUNGO mshambuliaji wa Pamba Jiji, Peter Lwasa ambaye msimu uliopita alimaliza na mabao manane akiwa Kagera Sugar, amesema hajawa na mwendelezo mzuri wa kufumania nyavu msimu huu kutokana na kutocheza mechi mfululizo. Huu ni msimu wa kwanza kwa kiungo huyo raia wa Uganda kuitumikia Pamba Jiji ya Mwanza akisajiliwa kutokea Kagera Sugar iliyoshuka daraja msimu…

Read More

Mtibwa hali mbaya, yapigwa tena Chamazi

NINI kimeikuta Mtibwa Sugar? Ni swali unaloweza kujiuliza kufuatia timu hiyo kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Yusuf Chipo. Chipo ambaye alitambulishwa Novemba 17, 2025 kuifundisha Mtibwa Sugar baada ya aliyeipandisha daraja timu hiyo, Awadh Juma kukosa vigezo vya kuwa kocha mkuu, alikuwa na mwendo mzuri mwanzoni katika mechi nane…

Read More

Kanuni ya siku 90 inavyoweza kubadilisha tabia

Dar es Salaam. Wataalamu wa saikolojia duniani wametengeneza ‘Kanuni ya siku 90’ kama mhimili wa mabadiliko ya tabia ya mtu, endapo jambo litafanyika kwa siku hizo mfululizo, inakuwa tabia. Limekuwa ni jambo gumu kwa mtu kubadili tabia, kwa mfano mtu anayetaka kuacha kunywa pombe, uasherati, au kutumia dawa za kulevya. Hata hivyo, wataalamu wanaeleza kwamba…

Read More

Nyumba ya urithi yagonganisha familia, mjane aomba msaada

Dar es Salaam. Mgogoro wa nyumba ya urithi unaohusisha mjane Florentina Francis, mkazi wa mtaa wa Majimatitu A, Kata ya Mianzini Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, umechukua sura mpya baada ya kuibuka mvutano baina yake na ndugu wa marehemu mumewe. Kutokana na mvutano uliopo, Florentina amewaangukia Watanzania akiomba wamsaidie Sh12 milioni ili awape ndugu…

Read More

Waziri ataka wananchi Zanzibar wasichague kazi

Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawa Bora Zanzibar, Haroun Ali Suleiman amewataka wananchi kuchangamkia kazi za hoteli kwa kuwa Serikali imewekeza zaidi katika eneo hilo. Haroun ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 6, 2026 katika mkutano na waandishi wa habari uliolenga kueleza mafanikio ya siku 100 za Dk Hussein Ali…

Read More

Kili Marathon Yatangaza barabara zitakazofungwa siku ya mbio

  Wiki moja tu kabla ya kuanza kwa Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, waandaaji wa mbio hizi zenye hadhi ya kimataifa wametoa mwongozo wa kina kwa wananchi na washiriki, ikiwemo taarifa za kufungwa kwa barabara, maegesho, na masuala mengine ya kiitifaki. Tukio hili linalosubiriwa kwa hamu kubwa litafanyika Jumapili, Machi 22, 2026, katika Chuo Kikuu…

Read More