Mchujo Ukonga Kings si mchezo

MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), mwaka huu. Habari kutoka ndani ya kikosi hicho zinaeleza kwamba, uongozi umepanga kufanya mchujo kwa ajili ya kusaka vipaji vitakavyoongezwa…

Read More

WAJASIRIAMALI 238 WADOGO WAFIKIWA NA HUDUMA ZA VIWANGO TBS KANDA KASKAZINI

Meneja wa Kanda ya Kaskazini (TBS), Mhandisi Ismail Mwaipaja, akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Arusha kuhusu mafanikio na utekelezaji wa majukumu ya kanda hiyo Mhandisi Mwaipaja amesema TBS Kanda ya Kaskazini imefanikiwa kuthibitisha ubora wa bidhaa za wazalishaji pamoja na wajasiriamali 492, ambapo kati yao 238 ni wajasiriamali wadogo. Hatua hiyo imechangia…

Read More

Radi yaua wawili Morogoro | Mwananchi

Morogoro. Mvua zinazoendelea kunyesha zimeacha majonzi baada ya watu wawili kupoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa kwa kupigwa na radi Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Februari 24, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema tukio hilo limetokea usiku wa jana Jumatatu Februari 23,2026 katika kitongoji cha…

Read More

Mvua zahatibu barabara, RC Mtambi aomba fedha za dharura

Musoma. Serikali ya Mkoa wa Mara imeomba Sh16 bilioni kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kugharamia matengenezo makubwa ya dharura ya barabara zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) mkoani humo. Ombi hilo limechochewa na uharibifu mkubwa wa barabara uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha, ambazo zimeelezwa kuwa hazikutarajiwa kwa…

Read More

Tanzania Prisons yagoma kushuka daraja

PAMOJA na Tanzania Prisons kushika nafasi ya pili kutoka mkiani katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 13, nyota wa timu hiyo, bado wana imani ya kusalia msimu ujao wa 2026-2027. Mwanaspoti lilizungumza na wachezaji wa timu hiyo, baada ya juzi Jumamosi kufungwa mabao 3-0 na Yanga na wamesema katika mechi zilizosalia lolote…

Read More

SGR kuanza kutoa mizigo bandarini

Dar es Salaam. Serikali imesema kuanzia mwisho wa mwezi huu, itaanza kutumia Treni ya Kisasa (SGR) kusafirisha mizigo moja kwa moja kutoka bandarini, badala ya kutumia bandari ya Pugu kama ilivyokuwa awali. Hayo yameelezwa baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kudai kuwa uondoshaji wa mizigo bandarini ni sababu inayofanya ufanisi wa bandari…

Read More