Waziri Mkuu aonya watumishi wanaojimilikisha vizimba vya biashara

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewaonya watumishi wa Serikali wenye tabia ya kuchukua vizimba vya biashara katika masoko bila kuvifanyia shughuli yoyote, akisema tabia hiyo ni ya ulanguzi na inawaumiza wafanyabiashara halali wanaotegemea maeneo hayo kujipatia kipato. Amesema suala hilo halitavumiliwa na Serikali huku akitaka usimamizi thabiti wakati ugawaji wa vizimba unapofanywa…

Read More

Kilio cha madawati Shule ya msingi Ziwani chasikika

Tanga. Shule ya Msingi Ziwani, iliyopo Kata ya Pongwe jijini Tanga ambayo awali ilikuwa na madarasa mawili ya darasa la tano na sita ambayo wanafunzi walikuwa wakikaa kwenye mikeka darasani, sasa imepatiwa madawati 100 ili kukabiliana na changamoto hiyo. Mbali na shule hiyo, Halmashauri ya Jiji la Tanga imekabidhi jumla ya madawati 2,900 kwa shule…

Read More

Yanga ilivyomchomoa kocha Uingereza | Mwanaspoti

KATIKA mpango wa kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana, Yanga imeonyesha kuwa siriazi na jambo lake baada ya kumchomoa Kocha Mohamed Badru huko Uingereza ambako alikuwa akiinoa May & Baker F.C. Badru atakuwa kocha mkuu wa mradi wa Yanga Soccer School, uliozinduliwa Novemba 15, 2025, ukilenga kutafuta wachezaji wenye vipaji kati ya umri wa miaka…

Read More

VIJANA NDIO NGUZO YA KANISA—WITO MKUBWA WATOLEWA KATIKA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU MKONZE

………… Na Carlos Claudio, Dodoma MCHUNGAJI wa Ushirika wa Mkonze, Emmanuel Jonathan Mwakabalila, amesema kuwa vijana ndio nguvu ya kanisa na taifa, akisisitiza kuwa vita ya kiroho inalenga zaidi kundi hilo kutokana na nafasi yao katika kuijenga kesho ya jamii. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kutangaza ibada maalum ya kusifu na kuabudu, Mchungaji Mwakabalila alisema…

Read More

Zanzibar mguu sawa ujenzi kituo cha mikutano kimataifa

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mkakati kabambe kujenga Kituo cha Kimataifa cha kumbi za mikutano na maonesho ya biashara Fumba ambacho kitagharimu zaidi ya Dola za Marekani 124.518 milioni sawa na Sh324.680 bilioni. Katika kuimarisha ukuaji na utafutaji masoko hapa nchini, Kituo hicho kinalenga kuifanya Zanzibar kuwa kitovu cha biashara katika ukanda…

Read More

Watanzania wahimizwa kupikia nishati safi

Arusha. Wakati dunia inakabiliwa na changamoto kubwa ya mabadiliko ya tabianchi, matumizi ya nishati mbadala ya kupikia yanatajwa kuwa miongoni mwa suluhisho la kupunguza athari za uharibifu wa mazingira nchini huku jamii ikihimizwa kuachana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia. Aidha ongezeko la joto duniani, ukataji miti hovyo na uchafuzi wa hewa vimeendelea kuhatarisha…

Read More