WATAALAMU WA UFUATILIAJI NA TATHMINI WANOLEWA KUHUSU NAMNA YA KUTATHMINI MIRADI INAYOTEKELEZWA NA SERIKALI
Na Mwandishi wetu- Dodoma Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu imeendelea na hatua ya tatu ya kujengewa uwezo wa namna ya kufanya tathmini za programu na miradi kupitia programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) ili kuwawezesha watalaam wa ufuatiliaji na tathmini kupata uelewa na namna…