Zimamoto Mbeya wasaka mwili wa mtoto aliyesombwa na mafuriko

Mbeya. Wakati matukio ya watu kusombwa na maji yakiendelea kujirudia mkoani Mbeya, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo limesema linatarajia kuanza kampeni maalumu ya kuwafikia wananchi kutoa elimu ya tahadhari, hususani kipindi hiki cha mvua. Hatua hiyo inakuja baada ya matukio ya watu wawili, akiwamo mtumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Mbarali, idara ya…

Read More

Wairani Washiriki Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Wakati Mashambulizi ya Marekani na Israel Yakiendelea

Global Publishers March 13, 2026 0 Comments Tehran, Iran — Leo Machi 13, 2026 Wairani wamejitokeza katika miji mikubwa ya nchi hiyo kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds, tukio la kila mwaka linalolenga kuonyesha mshikamano na sababu ya Wapalestina na kulaani vitendo vya Marekani na Israel. Tukio hili, linalofanyika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu…

Read More

Fahamu Madhara ya Vyakula Vitamu Kupita Kiasi kwa Afya ya Figo

Watu wengi huamini kuwa kula vyakula vyenye sukari nyingi kunaweza kusababisha unene, kisukari na hata matatizo ya figo. Kulingana na wataalamu wa afya, jambo hili lina ukweli kwa sababu matumizi makubwa ya sukari yanaweza kuathiri afya ya figo kwa njia mbalimbali. Sukari Nyingi Inavyoathiri MwiliLishe yenye sukari nyingi mara nyingi husababisha unene kupita kiasi na…

Read More

WAZIRI MKUU AKAGUA UKARABATI WA UWANJA WA NDEGE WA SUMBAWANGA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 08, 2026 amekagua maendeleo ya ukarabati na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga uliopo mkoani Rukwa. Mradi huo ulianza kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2023/2024 kwa gharama ya shilingi bilioni 60.1 na hadi sasa umefikia asilimia 96 ya utekelezaji. Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Dkt. Mwigulu amewapongeza…

Read More

HELP TO HELP YAWAWEZESHA WASICHANA KUPENYA SOKO LA AJIRA

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Help to Help East Africa imeendesha mafunzo ya siku 14 kwa wasichana 150 kutoka mikoa 20 nchini, ikiwa na lengo la kuwawezesha kupata ujuzi wa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuongeza ushindani wao katika soko la ajira. Mafunzo hayo yanawalenga zaidi wasichana waliopo…

Read More

Maswa waomba kupatiwa elimu ya lishe, kupunguza udumavu

Maswa. Wananchi wilayani Maswa mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuongeza juhudi za utoaji wa elimu ya lishe katika ngazi ya jamii, ili kukabiliana na tatizo la udumavu kwa watoto ambalo bado linaendelea kuathiri familia nyingi. Wakizungumza Aprili 8, 2026, baadhi ya wananchi wamesema kuwa licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali na wadau wa afya, bado uelewa…

Read More