Sio Ibenge wala Pedro Dar es Salaam Dabi

LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Depu na Prince Dube, wenye jumla ya mabao 12, Yanga imeshindwa kuonyesha makali yake mbele ya lango baada ya kutopiga hata shuti moja lililolenga lango la Azam FC katika mchezo uliomalizika kwa suluhu. Mchezo huo…

Read More

USHAHIDI WA TUNDA LA MTI WA KATI KULIWA NGORONGORO HUU HAPA

Mwaka 1976, Mtafiti wa masuala ya Akiolojia Dr. Mary Leakey aligundua nyayo za zamadamu eneo la Laetoli zilizohifadhika katika mwamba wa jivu la volcano iliyolipuka kwenye milima ya Ngorongoro zaidi ya miaka milion 3.6 iliyopita. Wataalamu wanaamini kuwa nyayo hizo ziliachwa na jamii ya watu wa kale waitwao Australopithecus Afarensis. Nyayo za Zamadamu Laetoli Ngorongoro…

Read More

Sichone aanza kufunga UAE | Mwanaspoti

WINGA Mbongo Morice Sichone anayeitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ya Falme za Kiarabu ameanza vizuri akifunga mabao mawili licha ya hali ya taharuki inayosababishwa na machafuko ya vita yanayoendelea katika baadhi ya maeneo ya Mashariki ya Kati. Nyota huyo alijiunga na Gulf akitokea Trident FC ya Zambia alipocheza mechi 18 akifunga mabao…

Read More

Sababu Rita kuvunja Bodi ya Wadhamini Kanisa la Wasabato

Dar es Salaam. Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) umeivunja Bodi ya Wadhamini ya Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Tanzania, kufuatia tuhuma za ubadhirifu wa mali za kanisa na kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Februari 25, 2026 jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa…

Read More

RC Songwe ataka mpango unafuu wa umeme kwa wachimbaji madini

Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame amemwagiza Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Songwe kundaa na kutekeleza mpango wa muda mfupi, utakaoweza kuleta nafuu ya tatizo la umeme katika Wilaya ya Songwe ikiwemo maeneo yanakochimbwa madini. Makame ametoa maagizo hayo akiwa ziarani wilayani Songwe kukagua hali ya upatikanaji wa umeme…

Read More

Marekani Yatoa Onyo la Mwisho kwa Iran Kuhusu Shambulio la Qatar

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa Iran, akisisitiza kuwa taifa hilo litakumbana na hatua kali iwapo litaendelea na mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati katika eneo la Ghuba, hasa Qatar. Kupitia ujumbe aliouchapisha katika mtandao wa Truth Social, Trump alieleza kuwa Marekani haikuhusika kwa namna yoyote na shambulio la hivi karibuni lililofanywa…

Read More