HELLEN NKALANG’ANGO: Mama anayepambania kuona watoto wenye uziwi wakipata elimu

Dar es Salaam. “Mwaka 1980 nilijifungua mtoto ambaye baadaye niligundua hasikuu. Nilipohitaji kumpeleka shule, nilikumbana na changamoto kubwa kwa kuwa mkoani Morogoro hakukuwa na shule iliyoweza kumpokea kutokana na hali yake ua uziwi. Shule pekee niliyoipata ilikuwa ya Buguruni Viziwi, iliyopo Dar es Salaam,” anaanza kusimulia Hellen Nkalang’ango. Ameyasema hayo baada ya kufanya mahojiano na…

Read More

Udhibiti dawa za kulevya Tanga wapunguza waraibu

Tanga. Upatikanaji wa dawa ya kulevya aina ya heroini umeelezwa kuwa mgumu katika Jiji la Tanga, hali inayotajwa kuwa matokeo ya kuimarika kwa udhibiti dhidi ya uingizwaji na usambazaji wa dawa hizo. Daktari wa afya ya akili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo, Wallace Karata, amesema kupungua kwa upatikanaji wa heroini ni…

Read More

Asia Masimba anayewaongoza wanawake 400 wachimbaji madini

Geita. Ujasiri na uthubutu wa Asia Masimba ni simulizi ya kuvunja miiko iliyodumu kwa miongo kadhaa katika sekta ya madini mkoani Geita. Katika mazingira ambayo wanawake walionekana kuwa mkosi machimboni, Asia alithubutu kuingia duarani, akakubali kutukanwa, kufukuzwa na hata kucharazwa viboko, lakini hakurudi nyuma. Kwa miaka mitano mfululizo alipambana na imani potofu zilizotamalaki katika jamii…

Read More

Mwalimu wa Kiingereza wa Diamond na Harmonize, Allen Ngonyani Afariki

Global Publishers March 15, 2026 0 Comments Mwalimu aliyewasaidia mastaa wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva, akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize na Rayvanny, kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha, Allen Ngonyani, amefariki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya Geza, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu. Akizungumza na Global TV Online, mmoja kati ya ndugu…

Read More

Mambo ya kuzingatia unapokula matunda

Dar es Salaam. Matunda ni chakula cha asili chenye virutubisho vingi muhimu kwa afya ya binadamu. Matunda yanaweza kuwa matamu, machungu au kuwa na ladha ya wastani, na mengi huliwa mabichi hali inayosaidia kuhifadhi virutubisho vyake kwa kiwango kikubwa. Ofisa lishe mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Fatma Juma, anataja mambo  muhimu…

Read More

MWENYEKITI WA KAMATI YA TEITI APONGEZA MGODI WA DHAHABU WA GEITA KWA KUTEKELEZA SHERIA NA MIRADI YA CSR

📍*Geita.* Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI, Balozi Wilson Masilingi, ametembelea Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited akiambatana na Menejimenti ya TEITI, kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na menejimenti ya mgodi huo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Balozi Masilingi alisema ziara hiyo imelenga kujenga na kuimarisha ushirikiano kati ya TEITI na wadau…

Read More