Wito wa Türk Sudan Kusini wa kusitisha mapigano, mgomo wa Ukraine, tahadhari ya chakula Gaza, waliorejea Afghanistan – Masuala ya Ulimwenguni

Katika rufaa ya kusitisha mapigano mara moja, alisema kuwa katika muda wa siku 17 zilizopita, zaidi ya raia 160 wameuawa. Hii inajumuisha angalau 139 mnamo Machi 1 na wapiganaji kutoka kabila la Bul Nuer katika eneo la utawala la Ruweng kaskazini. Raia ‘walirubuni’ hadi vifo vyao Mnamo tarehe 21 Februari, Kamishna Mkuu alidai kwamba vikosi…

Read More

Rais Mhe. Dkt. Samia awasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tarehe 06 Machi, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia amewasili…

Read More

Pacome atengwa Yanga ikipiga tizi la mwisho kabla ya Dabi

ZIKIWA zimesalia saa chache ipigwe mechi ya Dabi ya Kariakoo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja, kikosi cha Yanga leo Februari 28, 2026 kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo, huku mchezaji nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua akionekana kufanya mazoezi peke yake. Pacome aliripotiwa kuwa kwenye matibabu ya majeraha aliyoyapata na kwamba…

Read More

Siku tatu ngumu za Sowah Simba

NI takribani wiki moja imepita tangu taarifa za mshambuliaji wa Simba, Jonathan Sowah ziripotiwe huku ikielezwa amesimamishwa kutokana na madai ya utovu wa nidhamu. Wakati muda huo ukipita huku kukiwa na ukimya kidogo, mapya yameibuka na kuelezwa uongozi wa klabu hiyo umempa siku…

Read More

Chadema kibarua tena leo mahakamani Dodoma

Dar es Salaam. Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumanne, Machi 24, 2026 watakuwa na kibarua kingine kuishawishi mahakama wakati wa usikilizwaji wa mashauri manne yanayotokana na kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara na Zanzibar inayokikabili. Mashauri hayo ya mapitio yaliyopewa usajili wa maombi ya…

Read More