Kachwele apelekwa HFX Wanderers | Mwanaspoti
MSHAMBULIAJI Mtanzania, Cyprian Kachwele amejiunga na Halifax Wanderers FC ya Ligi Kuu Canada kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Whitecaps FC 2. Mkataba huo unatamatika Desemba 31 mwaka huu na inaelezwa Kachwele amesajiliwa ili kukiongeza nguvu kikosi cha Wanderers. Inaelezwa sababu ya nyota huyo kutolewa kwa mkopo ni kumpa muda zaidi wa kupata…