Ushiriki wa Watanzania Sekta ya Madini Waongezwa Kupitia Huduma za Kisheria

Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kusisitiza umuhimu wa utekelezaji madhubuti wa sheria na kanuni katika sekta ya madini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania na kulinda maslahi mapana ya nchi. Akizungumza jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha wawakilishi wa mawakili kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Ofisi ya…

Read More

Faida nane cha kituo cha kuwanoa wajasiriamali

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametaja faida nane zitakazopatikana kupitia kituo kipya cha pamoja cha kuwezesha manunuzi na mauzo ya nje, akisema kitawarahisishia wajasiriamali kupata mitaji na teknolojia za kisasa za uzalishaji. Amesema matokeo chanya ya kituo hicho yanatarajiwa kuanza kuonekana mwaka 2030, ambapo programu…

Read More

Diarra njia nyeupe, apewa mmoja mpya kikosini

INAWEZEKANA unafuatilia matokeo tu ya Simba, Yanga na Azam FC namna zinavyokimbizana msimu huu, lakini kuna vita nyingine ngumu ipo kwenye mabao yao kwani makipa wa timu hizo wanatoana jasho kwa ubora mkubwa huku Djigui Diarra akionekana hana mpinzani wa karibu kwa sasa. Diarra mmoja kati ya makipa bora kuwahi kutokea kwenye ligi yetu, msimu…

Read More

Ceasiaa Queens yaanza tambo WPL, mjipange

KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Queens umetokana na mabadiliko makubwa ya kiufundi na kisaikolojia kwa wachezaji wake. Chobanka alikiri awali timu hiyo haikuwa kwenye kiwango kizuri, lakini walijifunza kutokana na makosa ya nyuma hasa baada ya kufungwa bao 1-0 na Geita. Amesema siyo kikosi hicho ni…

Read More

Waziri Mkuu wadogo zako wakuige – Sumaye

Hanang‘. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amewasihi wasaidizi wa Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuiga namna anavyotatua  changamoto na kero za wananchi kwa kusikiliza na kuzitatua. Sumaye ameyasema hayo leo Jumapili Machi Mosi, 2026, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang’ mkoani Manyara. Amesema anavutiwa na namna Waziri Mkuu Mwigulu…

Read More