TBL YAPONGEZA HATUA ZA SERIKALI KUPAMBANA NA ONGEZEKO LA POMBE HARAMU
Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) imetoa wito wa kuwepo kwa hatua za pamoja na endelevu ili kukabiliana na tatizo la pombe haramu nchini, ikionya kuwa hali hii inaendelea kuhatarisha afya ya wananchi, uchumi wa taifa, pamoja na mustakabali wa biashara halali. Kampuni hiyo imepongeza juhudi zinazoendelea za serikali katika kupambana na biashara haramu, ikibainisha…