Israel yadai kuwaua vigogo wengine wa Iran, Mojtaba asema…

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema vikosi vya nchi hiyo vimemuua mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, anayechukuliwa kuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa, pamoja na Gholamreza Soleimani, aliyekuwa akiongoza kikosi cha wanamgambo wa kujitolea cha Basij, ambacho kina mchango mkubwa katika usalama wa ndani. Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu…

Read More

Aucho ajibu tuhuma za utovu wa nidhamu Singida BS

BAADA ya uongozi wa Singida Black Stars kutangaza kumsimamisha kwa miezi mitatu Khalid Aucho kwa tuhuma za utovu wa nidhamu na kuchelewa kazini, kiungo huyo raia wa Uganda, ameonekana kujibu kupitia ujumbe aliouchapisha katika ukurasa wake wa Instagram. Taarifa ya Singida Black Stars iliyotolewa leo Februari 27, 2026 na ofisi ya mtendaji mkuu wa klabu…

Read More

SADC YAHIMIZA MTANGAMANO WENYE MATOKEO CHANYA KATIKA KIKANDA

:::::::::: Mkutano wa Kamati ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 07, 2026, chini ya Uenyekiti wa Balozi Tebogo Seokolo ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano ya Afrika Kusini.  Katika hotuba ya ufunguzi Balozi Seokolo alihimiza Nchi Wanachama…

Read More

Black Sailors bado tisa tu, kuhitimisha safari

KUANZIA sasa, Black Sailors inahitaji pointi tisa tu ili msimu ujao ishiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) baada ya msimu huu kuwa na mwendo mzuri katika Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja. Sailors ndiyo kinara katika msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja ikiwa na pointi 56, ikifuatiwa na Raskazone (52), kisha Kundemba…

Read More

Mbunge awaombea madiwani nyongeza ya posho ifike 500,000

Dodoma. Mbunge wa Monduli (CCM), Isack Capriano ameiomba Serikali itafakari njia bora ya kuwasaidia madiwani kwa kuongeza posho zao, akieleza kuwa kiwango cha sasa hakikidhi mahitaji yao. Capriano ametoa kauli hiyo leo, Jumatano Aprili 8, 2026, wakati akichangia hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu bajeti ya mwaka 2026/27.  Amesema kuwa kiwango cha Sh350,000 wanachopata madiwani ni…

Read More