Uwanja wa Mpaka kufungwa kupisha maandalizi AFCON 2027

SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Akizungumza katika mahojiano na gazeti la The Citizen, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,…

Read More

Waandamanaji wa Irani waliofungwa wanakabiliwa na hukumu ya kunyongwa ‘haraka’ – Global Issues

The Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Kutafuta Ukweli (FFM) kuhusu Iranambayo iliundwa na Baraza mnamo 2022, ilisema ina wasiwasi mkubwa juu ya ulinzi wa wafungwa, pamoja na kuongezeka kwa ghasia zinazoendelea kuathiri Lebanon na Mataifa mengi ya Ghuba. Jopo la wataalam huru wa haki walitaja ripoti za kuaminika “kwamba wengi (wafungwa nchini Iran) wako katika…

Read More

Hivi ndivyo 2028 itakavyoyapokea madarasa mawili sekondari

Dar es Salaam. Utekelezaji wa Sera ya Elimu ya elimu na Mafunzo unaendelea kuchukua sura mpya nchini, huku Serikali ikijiandaa kukabiliana na changamoto ya ongezeko kubwa la wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza ifikapo mwaka 2028. Katika mwaka huo, Tanzania inatarajiwa kushuhudia madarasa mawili ya wanafunzi kutoka elimu ya msingi yakijiunga kwa pamoja na…

Read More

Muya apewa mkono wa kwaheri Coastal Union

Coastal Union imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, Mohammed Muya kuanzia leo Jumatano, Aprili 8, 2026. Taarifa ya Coastal Union leo, imesema kuwa pande hizo mbili zimefikia maridhiano katika kufikia uamuzi huo. “Uongozi wa Klabu ya Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya Kusitisha Kandarasi na Kocha Mkuu Mohammed Muya. “Klabu inamshukuru Mwalimu Mohammed…

Read More

Chadema kibarua tena leo mahakamani Dodoma

Dar es Salaam. Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumanne, Machi 24, 2026 watakuwa na kibarua kingine kuishawishi mahakama wakati wa usikilizwaji wa mashauri manne yanayotokana na kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara na Zanzibar inayokikabili. Mashauri hayo ya mapitio yaliyopewa usajili wa maombi ya…

Read More

Profesa Mahalu afariki dunia, aacha historia

Dar es Salaam. Profesa wa sheria na mwanadiplomasia nguli, Profesa Costa Mahalu (77) amefariki dunia. Taarifa kutoka kwa familia yake imethibitisha Profesa Mahalu amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu. Hadi anafariki dunia, Profesa Mahalu alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu St Augustine akiendelea kutoa elimu ya sheria. …

Read More

Kipigo chamzindua Nsajigwa Prisons | Mwanaspoti

KIPIGO cha mabao 2-1 ilichokipata Tanzania Prisons dhidi ya Singida Black Stars juzi kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kimemwibua kocha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, baada ya kukiri umakini ndiyo sababu ya kukosa ushindi. Mechi hiyo iliyopigwa Kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini, Dodoma, Prisons ilitangulia kupata bao la penalti dakika ya tatu, kupitia…

Read More

Mabadiliko ya Utawala Usiokubalika nchini Irani na Jinsi Vita Vinavyoathiri Ulimwengu – Masuala ya Ulimwenguni

Ali Khamenei aliyefariki akikabidhi bendera ya Iran kwa picha ya kioo ya mtoto wake, Mojtaba Khamenei. Kutoka kwa wavuti https://english.khamenei.ir/ Maoni na Jan Lundius (Stockholm, sweden) Alhamisi, Machi 12, 2026 Inter Press Service STOCKHOLM, Uswidi, Machi 12 (IPS) – Vita vya Marekani/Israel dhidi ya Iran vinaweza kuwa kama kuchafua kiota cha mavu, kueneza hofu na…

Read More