SERIKALI YAIMARISHA TAFITI, MATUMIZI YA TEHAMA SEKTA YA AFYA

Na WAF – Uingereza  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuimarisha juhudi za kukuza utafiti na ubunifu katika sekta ya afya ili kukabiliana na changamoto za ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) pamoja na magonjwa ya kuambukiza.  Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amesema hayo leo Machi 16, 2026 jijini London wakati akiwasilisha…

Read More

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Suleiman Abdulla awaongoza wateja, wadau wa NBC kushiriki hafla ya futari Zanzibar

Pamoja na ushiriki huo Mhe Abdulla aliishukuru na kuipongeza NBC kwa kuandaa tukio hilo la kiimani, akieleza kuwa ni ishara ya moyo wa kujali na kujenga mahusiano imara na jamii. Alitoa shukrani za dhati kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kutambua mchango wa NBC katika maendeleo ya visiwa hivyo—kuanzia msaada wa kifedha, ushauri…

Read More

Video: Waziri Mkuu Mwigulu – ”Mtauana Bure Ardhi Haiongezeki”

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Leo Februari 26, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Manyara, wilayani Kiteto, ambako amewahutubia wananchi, kusikiliza kero zao na kuzitolea ufumbuzi. Katika mkutano huo, mwananchi Ngobi Zuberi aliibua kero akidai wafugaji kulisha mifugo kwenye shamba lake lote hali iliyosababisha kushindwa kuvuna chochote….

Read More

Tume ya Oktoba 29, yaongezewa tena siku 21

Dar es Salaam. Baada ya kufanya kazi kwa takriban miezi minne, hatimaye Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 imeomba na kuongezewa tena muda wa siku nyingine 21 kukamilisha kazi. Hiyo ni nyongeza ya pili ya muda kwa Tme hiyo, ambayo Februari 20, mwaka huu iliongezewa…

Read More