Mwenyekiti wa CCM Itilima afariki dunia

Simiyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja amefariki Machi 18, 2026 huku CCM ikimtaja kama kiongozi shupavu na mwadilifu. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Machi 20, 2026 na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, imeeleza kuwa chama kimepoteza kiongozi shupavu, mwadilifu na…

Read More

Sheikh Njalambaha awapigia ‘chapuo’ vijana serikalini

Mbeya. Serikali imeombwa kuongeza jitihada za kuwawezesha vijana kiuchumi ili kuwaondoa katika makundi yasiyofaa, huku jamii ikihimizwa kuendeleza matendo mema, mshikamano na kusameheana hata baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Wito huo umetolewa leo Jumamosi Machi 21, 2026 na Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Alhaji Sheikh Msafiri Njalambaha wakati akizungumza na waumini kwenye…

Read More

Mojtaba Khamenei Achaguliwa Kuwa Kiongozi Mkuu Mpya wa Iran

Global Publishers March 9, 2026 0 Comments Tehran, Iran – Mwanazuoni wa Kiislamu Mojtaba Khamenei amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, akimrithi baba yake Ali Khamenei, aliyekuwa akiongoza taifa hilo kwa miongo kadhaa. Mojtaba Khamenei, mwenye umri wa miaka 56, ni mmoja wa wanazuoni wa Kiislamu waliopata elimu yao katika seminari maarufu ya Qom…

Read More

Viwanja vya Ndege Nchini ni salama

SERIKALI imetoa kauli ya usalama na uthabiti wa miundombinu ya viwanja vya ndege nchini huku ikisema maboresho makubwa ya kiteknolojia yaliyofanyika yanawezesha safari za anga kuwa salama. Katika kuhakikisha viwango vya kimataifa vinazingatiwa, Tanzania imekuwa ikifanya kazi kwa karibu na Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO). Msemaji amebainisha kuwa ukaguzi wa hivi karibuni…

Read More

Mimea vamizi yaathiri maeneo ya malisho nchini

Arusha. Jamii za kifugaji zimetakiwa kuboresha usimamizi wa malisho ili kufufua afya ya nyanda za malisho na kupunguza kiwango cha hewa ukaa angani. Hayo yamebainishwa leo, Jumamosi Aprili 11, 2026 na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Maeneo ya Malisho na Rasilimali za Vyakula vya Wanyama kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk Asimwe Rwiguza, katika…

Read More

Faida ya Madini ya Afrika, Matumaini ya Tahadhari Huku Kukiwa na Misukosuko ya Kijiografia – Masuala ya Ulimwenguni

Ishara nje ya Metallon, moja ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu wa Zimbabwe. Credit: Ignatius Banda/IPS na Ignatius Banda (bulawayo, zimbabwe) Jumatano, Machi 18, 2026 Inter Press Service BULAWAYO, Zimbabwe, Machi 18 (IPS) – Jicho la Afŕika katika madini kama ajenda ya kuwa-yote na-tiba kwa ajili ya ajenda ya maendeleo ya bara linajaribiwa na ustadi wa…

Read More

Ufugaji watajwa chanzo cha magugu maji Ziwa Victoria

Dodoma. Bodi ya Maji ya Bonde la Ziwa Victoria imeeleza kuwa shughuli za kibinadamu, hususan ufugaji, ndicho chanzo kikuu cha magugu maji katika Ziwa Victoria. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa, Machi 6, 2026, na Mkurugenzi wa Bodi ya Maji wa Bonde la Ziwa Victoria, Dk Renatus Shinhu, wakati akielezea shughuli zinazofanyika katika bonde hilo. Dk…

Read More