FORLAND YAHAMASISHA MATUMIZI YA MITI MINGINE YA ASILI

Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv WIZARA ya Maliasili na Utalii, kupitia mradi wa FORLAND, imesema inaendelea kuhamasisha matumizi ya miti mingine ya asili tofauti na inayojulikana sasa ya Mninga na Mkongo. Akizungumza na waandishi wa habari katika maonyesho ya siku misitu, yanayoendelea kwenye viwanja vya Ilulu vilivyopo Manispaa ya Lindi, mkoani humo, Afisa misitu na…

Read More

Kituo cha Afya Kataryo kusogeza huduma kwa wananchi

Zaidi ya wakazi 13,200 wa Kata ya Tegeruka pamoja na vijiji jirani katika Wilaya ya Musoma Vijijini mkoani Mara wanatarajiwa kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya kwa ngazi ya kituo cha afya na kuendelea baada ya Serikali kutoa Sh250 milioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Kituo cha Afya Kataryo….

Read More

Wanne wauawa kwa tuhuma za uhalifu, kufumaniwa Mbeya

Mbeya. Watu watano wamefariki dunia jijini Mbeya, wakiwamo wanne wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo uporaji na upigaji nondo nyakati za usiku, na mmoja ameuawa kwa fumanizi. Hivi karibuni gazeti la Mwananchi liliripoti uwepo wa makundi ya uhalifu katika maeneo mbalimbali jijini Mbeya, siku chache baada ya mwandishi wa TV Imaan, Rashid Mkwinda, kuvamiwa,…

Read More

Ushiriki wa Watanzania Sekta ya Madini Waongezwa Kupitia Huduma za Kisheria

Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kusisitiza umuhimu wa utekelezaji madhubuti wa sheria na kanuni katika sekta ya madini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania na kulinda maslahi mapana ya nchi. Akizungumza jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha wawakilishi wa mawakili kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Ofisi ya…

Read More

Ibenge ataja sifa tatu za Yanga

KUELEKEA mechi ya Dar es Salaam Dabi, itakayopigwa kesho Machi 15, kocha wa Azam, Florent Ibenge, ametaja sifa tatu za wapinzani hao huku akisema kuwa kocha wa Yanga, Pedro Goncalves ana ufundi wa hali ya juu. Yanga inatarajiwa kuvaana na Azam kesho kwenye mchezo mkali wa Ligi Kuu zikiwa ni timu mbili ambazo hadi sasa…

Read More

CM YAMG’OA KIGOGO UWANJA WA MKWAKWANI

Na Oscar Assenga,TANGA KAMATI ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga imeagiza kusimamishwa kazi Meneja wa Uwanja wa Mkwakwani Akida Machai kutokana na mapungufu mbalimbali yaliyobainika wakati wa ziara ya kamati hiyo kwa ajili ya kujionekana maendeleo yake. Akizungumza kuhusu maamuzi hayo ,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Rajab Abdurhaman ambapo alisema…

Read More

Fanya Hivi Kama Unaona Mpenzi Wako Hamuendani!

NI Jumanne nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana elimu ya uhusiano. Ulimwengu huu ni mzuri kama utampata mtu sahihi. Mtu ambaye mnapendana kwa dhati na hakuna hata mmoja wenu ambaye anamsumbua au kumyanyasa mwenzake.  Kizazi cha sasa kimetawaliwa na ugomvi, usaliti, tamaa na kila aina ya mambo mabaya. Bahati mbaya sana hata wale walioko…

Read More

Sababu TPA kuja na ada mpya, kuziahirisha

Dar es Salaam. Siku moja baada ya ada mpya ya uendelezaji wa miundombinu ya bandari (PID) kulalamikiwa, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeeleza sababu za kuianzisha na kuisogeza hadi Julai mosi mwaka huu. Ada hizo mpya zilipaswa kuanza kutumia Machi 8, 2026 lakini baada ya kutangazwa na kuibua mjadala mkubwa miongoni mwa wadau…

Read More