China kuendeleza ukuaji wa viwanda Tanzania

Dar es Salaam. China imeeleza nia ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kukuza maendeleo ya viwanda, hususan katika uzalishaji, uhamishaji wa teknolojia na maendeleo ya ujuzi. Akizungumza Machi 11, 2026 wakati wa ziara katika kiwanda cha kuunganisha malori ya Howo kinachomilikiwa na Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, Balozi wa China nchini…

Read More

Haki za wanawake zinadorora duniani kote, anaonya mkuu wa Umoja wa Mataifa wa usawa wa kijinsia – Global Issues

“Wakati ulimwengu unapitia kurudi nyuma kwa demokrasia, migogoro inayoongezeka, shinikizo la kiuchumi na kupungua kwa nafasi ya kiraia, kuna msukumo unaozidi kupangwa katika usawa wa kijinsia na kurudi nyuma kwa haki za wanawake,” Sarah Hendriks, UN Women Mkurugenzi, Idara ya Sera, Programu na Kiserikali aliwaambia waandishi wa habari katika mkutano huo mjini New York. “Mifumo…

Read More

Alliance ipo sokoni ikitafuta kocha

ALLIANCE Girls imeingia kambini rasmi Ijumaa kuanza maandalizi ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania inayotarajiwa kurejea April 03, huku uongozi wa timu hiyo ukianza mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya atakayeiongoza kikosi hicho katika mzunguko wa pili. Mabadiliko hayo yanafanyika katika benchi la ufundi kufuatia aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Sultan Juma kuondoka baada…

Read More

Simba yabanwa Kirumba, Azam Lake Tanganyika

WAKATI jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo Alhamisi ikawa zamu ya wenzao kushangilia baada ya wekundu hao kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Pamba Jiji kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Simba ilitumia dakika tatu pekee kufurahia bao lake lililofungwa dakika ya 33 na Anicent…

Read More