Usiposafisha kinywa asubuhi, usiku haya yatakupata
Dar es Salaam. Wakati kesho Ijumaa, Machi 20, 2026 dunia ikiungana kuadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa, imeelezwa kuwa, baadhi ya watu bado hawalichukulii kwa uzito unaostahili suala la kutunza meno, fizi na ulimi. Siku hii ilianzishwa mwaka 2013 ikiwa na malengo mbalimbali ikiwamo kuongeza uelewa, kuwa watu wengi duniani walikuwa hawatilii mkazo afya ya…