TUMEONDOA VAT KATIKA UAGIZAJI WA MITUNGI YA GESI ILI KURAHISISHA UPATIKANAJI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WANANCHI- NDEJEMBI

******** Waziri wa Nishati,  Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali imeondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye uagizaji wa mitungi ya gesi (LPG), mitungi mikubwa ya gesi (LPG bulk facility) pamoja na carbonizers za kutengeneza mkaa mbadala ikiwa ni sehemu ya jitihada zinazofanywa na Serikali kupunguza bei na kurahisisha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia…

Read More

Fahamu Mambo Muhimu Yasiyotakiwa Pupuuzwa Katika Gari Lako

Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Kila mmiliki wa gari anapaswa kuwa makini na alama ndogo ndogo zinazoweza kuashiria matatizo makubwa yanayoweza kusababisha ajali au gharama kubwa za matengenezo. Kupuuza tatizo dogo leo inaweza kumaanisha tatizo kubwa kesho. Hapa kuna mambo muhimu yasiyotakiwa kupuuzwa kwenye gari lako: 1️⃣ Breki – Moyo wa UsalamaBreki ni…

Read More

TUME YA MADINI YAFUNGUA FURSA KWA VIJANA

 Na Mwandishi wetu – Dodoma. Tume ya Madini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kutoa mafunzo ya kuongeza ujuzi kwa wachimbaji hasa vijana katika eneo la uchimbaji, uchenjuaji na uongezaji thamani pamoja na biashara ya Madini. Katika kipindi cha Julai hadi Desemba, 2025 Tume ya Madini imehakikisha inatekeleza Kanuni za Ushirikishwaji wa Watanzania ili kuongeza…

Read More

MZIKI WA DKT.AGNES GIDNA WAIKUNA KAMATI YA BUNGE.

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imempongeza Afisa Uhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Dkt. Agnes Gidna kutokana na umahiri, umakini, kujiamini na uchambuzi wake mkubwa wa masuala ya mambo kale na jiolojia. Wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Timotheo Mnzava wabunge hao wametoa pongezi hizo baada ya…

Read More