Ziara ya Dk Mwigulu yaweka hatarini ajira za watendaji mikoani

Dar es Salaam. Huenda ziara zilizofanywa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, katika mikoa ya kaskazini zikaweka hatarini nafasi za baadhi ya watendaji serikalini kutokana na kubainika kwa kasoro za kiutendaji. Katika ziara hiyo iliyoanzia Mkoa wa Tanga Februari 13, 2026, kisha Kilimanjaro, Arusha na Manyara, Dk Mwigulu aliwabananisha watendaji wa Serikali akitaka kupatiwa ufafanuzi…

Read More

Mbunge ataka uwajibikaji kwa mawaziri wenye majibu yasiyo na tija

Dodoma. Suala la uwajibikaji wa watumishi wa umma katika kushughulikia kero za wananchi na kusimamia utekelezaji wa maagizo ya viongozi wa kitaifa, leo limeelekezwa pia kwa mawaziri na naibu mawaziri, wakitakiwa kutoa majibu yenye utekelezaji wanapojibu hoja za wabunge bungeni. Hatua hiyo imekuja kufuatia baadhi ya wabunge kueleza kutoridhishwa na majibu wanayopewa na mawaziri, wakidai…

Read More

VIJANA WATATU WAHUKUMIWA KIFUNGO KISA KUZUSHA KUIBIWA NYETI, MWINGINE JELA MIAKA THELATHINI (30) – RUKWA

JESHI la Polisi Mkoa wa Rukwa linaendelea na mapambano dhidi ya wahalifu mbalimbali wakiwemo wale wanaosababisha taharuki katika jamii kwa kuzusha kuibiwa sehemu nyeti za miili yao na wale wanaowafanyia ukatili na udhalilishaji watoto. Katika kuhakikisha jamii ya watu wa Mkoa wa Rukwa wanaishi bila hofu, limewafikisha mahakamani tena vijana watatu waliomzushia bwana Hosea Ngogo…

Read More

Singida alenga ushindi dhidi Mbeya City

BAADA ya kudondosha pointi sita katika mechi mbili Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga na Simba, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji wake kusahau matokeo hayo na kuelekeza nguvu katika mchezo dhidi ya Mbeya City. Ouma alisema licha ya kupoteza michezo hiyo migumu anaamini kikosi chake kilionyesha kiwango kizuri na kilistahili kupata…

Read More

Michango mashuleni kikwazo kwa watoto wenye mazingira magumu

Dodoma. Walezi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wametaja wingi wa michango ya wanafunzi shuleni kuwa inawakwamisha katika kufikia malengo na kuomba Serikali iwasaidie kutoa mwongozo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Machi 8,2026 na Mkurugenzi wa Kituo cha kulea watoto yatima na wenye mahitaji maalumu cha Rahman Day Care Center,  Rukia Abllah wakati akipokea vyakula…

Read More

Ndejembi: Serikali inapambana kuondoa vikwazo matumizi ya nishati safi ya kupikia

Morogoro. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Serikali inaendelea kushughulikia changamoto za miundombinu zinazokwamisha usambazaji na matumizi ya nishati safi ya kupikia, hasa vijijini na pembezoni mwa miji. Akizungumza leo Machi 17, 2026 mkoani Morogoro wakati wa kufungua kongamano la wadau wa nishati safi ya kupikia lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Wizara…

Read More

Wanawake nchini Lebanon walilazimishwa kujifungua kando ya barabara – Masuala ya Ulimwenguni

“Kuna wanawake wajawazito 11,600 ambao wameathirika, 4,000 wanatarajiwa kujifungua katika muda wa miezi mitatu ijayo,” alisema Anandita Philipose, Mwakilishi wa Lebanon katika hazina ya Umoja wa Mataifa ya idadi ya watu. UNFPA. “Wengi wa wanawake hawa wamelazimika kutoka makwaokukatishwa huduma muhimu za afya na kulazimishwa kujifungua katika mazingira hatarishi, wengine hata kando ya barabara.” Hali…

Read More

“Ubinadamu Katika Ukingo wa Ubinadamu Wake Wenyewe” – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na James Alix Michel (Victoria, Shelisheli) Jumatano, Aprili 08, 2026 Inter Press Service VICTORIA, Shelisheli, Aprili 8 (IPS) – Tunaishi katika karne ya mafanikio ya ajabu. Ubinadamu umegawanya atomu, kuchora ramani ya jenomu, na kutuma wanaanga kwenda Mwezini, na mipango inaendelea kufikia Mirihi. Maarifa yetu yamepanuka, zana zetu zimekuwa na nguvu zaidi, na uwezo…

Read More