HELP TO HELP YAWAWEZESHA WASICHANA KUPENYA SOKO LA AJIRA

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Help to Help East Africa imeendesha mafunzo ya siku 14 kwa wasichana 150 kutoka mikoa 20 nchini, ikiwa na lengo la kuwawezesha kupata ujuzi wa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuongeza ushindani wao katika soko la ajira. Mafunzo hayo yanawalenga zaidi wasichana waliopo…

Read More

Dickson Job nje miezi miwili Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amethibitisha kwamba, nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Dickson Job, hatakuwa sehemu ya mechi ya kesho Alhamisi dhidi ya Singida Black Stars kufuatia kuumia enka. Kwa mujibu wa Pedro, Job aliyeumia enka katika Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba iliyomalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana wikiendi iliyopita, anatarajiwa kuwa nje…

Read More

Kongole Wizara ya Maji kwa mafanikio ya programu ya WSDP

Na: Dk. Reubeni Lumbagala Wizara ya Maji inatekeleza programu mbalimbali za kimaendeleo zenye lengo la kuboresha usambazaji wa maji kwa wananchi wake na kufanikisha miradi mingine ya umwagiliaji ambayo ni kichochea muhimu kwa ustawi wa shughuli za kiuchumi kama kilimo, viwanda na huduma nyingine za kijamii. Miongoni mwa mipango inayosimamiwa na Wizara ya Maji yenye…

Read More