Mama mwenye nyumba agundua mwili wa mpangaji uliofukiwa chumbani
Kilosa. Mwili wa Lilian Danstan (27) umegundulika umefukiwa chumbani ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mpenzi wake katika Kijiji cha Changarawe, Wilaya ya Kilosa. Kufuatia tukio hilo, kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya kwa kushirikiana na maofisa afya pamoja na taasisi nyingine leo, Machi 9, 2026 wamefanikiwa kuufukua. Mwili huo umegundulika baada ya mama…