Arsenal Yapoteza Kwa Bournemouth, Ndoto ya Ubingwa Yaanza Kuyumba
Global Publishers April 11, 2026 0 Comments Klabu ya Arsenal imejikuta katika hali ngumu kwenye mbio za ubingwa baada ya kupoteza mchezo muhimu dhidi ya AFC Bournemouth 2-1, matokeo ambayo yamefungua upya ushindani na kuwapa matumaini wapinzani wao wakubwa. Licha ya kuwa bado wanashikilia hatima ya ubingwa mikononi mwao, kikosi cha Mikel Arteta kilionekana kupoteza…