Mbeya Jiji yaanza tambo Shimisemita

ZAIDI ya wanamichezo 5000 wanatarajia kukutana jijini Mbeya kwa ajili ya kushiriki michuamo ya Shirikisho la Michezo kwa Serikali za Mitaa Tanzania (Shimisemita) itakayoanza Agosti 15 hadi 29 mwaka huu, huku wenyeji Jiji la Mbeya wakitamba kufanya vizuri. Michuano hiyo inatarajia kushirikisha Halmashauri zote 184 hapa nchini na mwaka huu kitaifa itafanyika jijini Mbeya, huku…

Read More

Shamba la Bahati Lipo Kukupa Nafasi Ya Kuondoka Na Mali Kubwa

MERIDIANBET imekuja tena, na sasa kiuwazi kabisa wanakwambia kwamba mali ipo shambani. Lakini si shamba la kawaida, hapa hupandi mahindi wala mihogo. Hapa unalima bahati yako, unalima bashiri zako, na mavuno ni ushindi mkubwa. Ukiingia shambani hapa, kila hatua ni nafasi ya kushika pesa nyingi zaidi ya unavyoweza kufikiria. Usikose nafasi hii ya kipekee. Fortune…

Read More

Simba mambo magumu, Dabi ya Mzizima ikiisha bila mbabe

Katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam ndiko ulikopigwa mchezo wa dabi ya Mzizima iliozikutanisha Azam FC na Simba katika kampeni ya kusaka taji la Ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Katika mtanange huo mkali, ulianza kwa kasi sana timu zote zikishambuliana kabla ya Azam kuutawala mchezo zaidi katika kipindi hicho. Matajiri hao…

Read More

Wataalamu walaani kuwanyima watoto haki za msingi

Tanga. Wataalamu wa malezi na makuzi ya watoto mkoani Tanga wametahadharisha kuwa kuwanyima watoto haki zao za msingi za kucheza, kupumzika na kukua katika mazingira salama na yenye afya kunahatarisha maendeleo yao ya kimwili na kiakili. Wataalamu hao wanasema vitendo hivyo vinaweza kuathiri si tu ukuaji wa kimwili wa watoto, bali pia maendeleo yao ya…

Read More

Urasimu, tozo za kero kwenye taasisi za umma, mashirika kumulikwa

Dodoma. Serikali imetangaza mchakato wa kupitia upya mashirika na taasisi za umma zinazohusika na udhibiti na usimamizi wa shughuli za kibiashara. Lengo la Serikali ni kupunguza urasimu unaosababishwa na kanuni na tozo zisizo za lazima, zinazokwamisha ukuaji wa biashara nchini. Mpango huu pia unalenga kuondoa urasimu unaochangia kuchelewesha uwekezaji na kupunguza tija katika sekta ya…

Read More

TBS YATOA LESENI 129 KWA WAZALISHAJI KANDA YA MAGHARIBI

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kutoa leseni 129 kwa wazalishaji wa bidhaa katika kanda hiyo, huku leseni 99 kati ya hizo zikitolewa kwa wajasiriamali wadogo. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya TBS katika sekta ya viwanda, Meneja wa TBS wa Kanda hiyo, Bw. Hamisi Seleleko amesema hatua hiyo inaonesha…

Read More