Mafunzo ya walimu India…Ishara ya enzi mpya kwenye elimu
Dar es Salaam. Mpango wa Tanzania wa kubadilisha mfumo wake wa elimu, unazidi kuchukua mwelekeo wa vitendo, huku walimu sasa wakiwa kitovu cha mageuzi yanayolenga kuzalisha nguvu kazi yenye ujuzi na iliyo tayari kwa ajira. Hatua ya hivi karibuni ya kuwapeleka wakufunzi 150 wa elimu ya amali upande wa uhandisi nchini India kwa mafunzo ya…