Natalie Portman Aibua Gumzo Baada ya Kutangaza Ujauzito wa Tatu
Global Publishers April 18, 2026 0 Comments Mwigizaji maarufu Natalie Portman Mwigizaji maarufu Natalie Portman amesema anajisikia mwenye bahati na shukrani kubwa anapotarajia kumpata mtoto wake wa tatu pamoja na mpenzi wake, Tanguy Destable. Katika mahojiano maalum, Portman alisema yeye na Destable wanafurahia sana habari hiyo. Alieleza kuwa anaona ujauzito huu kama baraka kubwa na…