Simba kuna mawili, Barker aifungia busta Namungo
WAKATI Simba ikijiandaa kucheza dhidi ya Namungo huko kusini mwa Tanzania, kocha wa kikosi hicho, Steve Barker amekuja na mambo mawili, kwanza amewachimba mkwara mastaa wake, piliĀ amefurahia urejeo wa Shomary Kapombe na Yusuph Kagoma. Kapombe na Kagoma walikosekana katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara ambao Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi…