Mkakati wa kuinusuru Malindi, kisaka amrithi hababuu

UONGOZI wa timu ya Malindi, umethibitisha kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hababuu Ali ambapo nafasi yake imechukuliwa na Ally Ramadhani Kisaka, ikiwa ni miongoni mwa mikakati ya kupambana kuibakisha timu Ligi Kuu Zanzibar. Hayo yameelezwa na Meneja wa Malindi, Ramadhan Sanga wakati akizungumza na Mwanaspoti kisiwani hapa. “Ni kweli Malindi imeachana na…

Read More

Mrundi Fountain Gate akwepa mtego wa Play-Off

BEKI wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi amesema licha ya kikosi hicho kutokuwa na mwenendo mzuri katika mechi za Ligi Kuu Bara, lakini malengo yao ni kuhakikisha timu hiyo inakwepa mtego wa kucheza mechi za ‘Play-Off’ msimu huu. Kauli ya nyota huyo inajiri baada ya juzi timu hiyo kushinda mabao 2-1 dhidi ya…

Read More

BUNGE MARATHON HUSAIDIA KUJENGA UMOJA NA AFYA

……… NA: MWANDISHI WETU – DODOMA  Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC), Mary Chatanda, ameshiriki msimu wa tatu wa mbio za hisani za “Bunge Marathon,” zilizofanyila Aprili 18, 2026, Jijini Dodoma. Akizungumzia mbio…

Read More

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kwenye Gari Lako Kila Asubuhi

Kabla ya kuanza safari asubuhi, ni muhimu kuhakikisha gari lako lipo katika hali salama na linalofanya kazi ipasavyo. Ukaguzi huu mdogo lakini wa maana unaweza kuzuia ajali, gharama kubwa za matengenezo, kukwama njiani bila mpango. Mara nyingi matatizo ya gari huanza kama mambo madogo yasiyojitokeza wazi, lakini ukichukua dakika chache kufanya ukaguzi, unaweza kuyaepuka mapema….

Read More