Michuano ya Coppa Italia kwasasa imefikia hatua ya Robo Fainali ya pili ambapo Inter Milan atamenyana dhidi ya Como 1907. Je nani kusonga mbele kwenye michuano hii?
Mchezo wa COPPA ITALIA hatua ya Robo Fainali huku hii ikiwa ni mechi ya mkondo wa pili ambao utawakutanisha kati ya Inter Milan dhidi ya Como 1907 kule Sansiro.
Hii ni mechi ya kuamua nani anaenda hatua ya Nusu Fainali, na mechi ya kwanza walipokutana walitoa suluhu hivyo ni kama wanaanza tena upya, magoli ndio kitu ambacho kitawatenganisha kwani hadi sasa kule Meridianbet ndio wanaopewa nafasi ya kuondoka na ushindi wanapewa vijana wa Chivu kutokana na ubora ambao wamekuwa nao msimu huu licha ya Fabregas na vijana wake kuwa ni timu inayoleta upinzani wa hali ya juu kwenye timu za Italia msimu huu.
Inter Milan ndio vinara wa Serie A hadi sasa huku Como wao wakiwa wanashika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi baada ya kufanikiwa kukusanya pointi zao 58 hadi sasa, hivyo jisajili na utengeneze jamvi lako na wakali wa ubashiri siku ya leo.
Leo hii michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupa mkwanja cheza, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao ujishindie pesa nyingi hapa. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Christian Chivu na vijana wake wanahitaji kwenda Nusu Fainali ili waweze kupigania na mataji mengine huku kwa upande wa Como wao mpaka sasa nafasi ya wao kushinda taji ni hili la Coppa Italia pekee kwani kwenye ligi ni ngumu sana kwa wao kushinda.
Takwimu zinaonesha kuwa kwenye mechi 7 za mwisho ambazo wamekutana hizi timu mbili, Como hajawahi kupata ushindi mbele ya Inter Milan. Je hii inaweza ikawa ndio nafasi yao za kuonesha ubora wao msimu huu mbele ya vinara hawa wa ligi kuu ya Italia?. Beti hapa mechi zote za Italia na Meridianbet.
EPL kuna mechi ya kibabe kati ya Brighton & Hove Albion dhidi ya Chelsea ambao wamekuwa na matokeo ambayo hayaridhi kabisa kwenye michuano yote. Hii ni mechi inayovuta hisia za mashabiki mbalimbali kwani Chelsea imefanya usajili mkubwa sana.
Brighton ni timu inayocheza kwa kuzingatia mfumo haswa kwani hawana wachezaji wenye majina makubwa ukulinganisha na Chelsea. Hii inawapa uwezo wa kudhibiti tempo ya mchezo dhidi ya timu kubwa, hasa wanapofanikiwa kuvunja pressing ya kwanza ya mpinzani. Tatizo lao kuu huwa kwenye box wanatengeneza nafasi nyingi lakini ufanisi wa kufunga mara nyingine huwa wa chini. Tengeneza jamvi lako hapa.
Huku vijana wa Liam wao muda mwingine hutegemea kiwango cha mchezaji mmoja mmoja na mara nyingi nyingi inakosa mwendelezo wa matokeo mazuri. Wanaweza kubadilika muda wowote na wanaweza kupata matokeo muda wowote hata yale ambayo huyataraii. Chelsea huwa hatari zaidi kwenye transition attacks kuliko build-up ya polepole.
Tofauti yao kwenye ligi hadi sasa ni pointi ni 2 pekee, The Blues akiwa na 48 na Mwenyeji akiwa na pointi 46. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi, Cheslea alipoteza hivyo leo hii ushindi ndio kitu ambacho wanahitaji kupata. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.