Global Publishers
April 17, 2026
0 Comments
Mitaa ya Kijitonyama Kisiwani ilisimama kidogo, si kwa kelele za magari wala pilikapilika za kawaida, bali kwa ujio wa Meridianbet waliotua kwa lengo kuu moja pekee, kuwa sehemu ya wale wanaobadili japo kwa uchache hali ya maisha ya watu wanaohitaji mkono wa kusaidiwa.
Katika mwendelezo wa kampeni yao ya kurejesha kwa jamii, Meridianbet walifika na msaada uliolenga kugusa zaidi maisha ya mama wajane na familia zinazopambana kila siku kujikimu. Chakula, mahitaji ya msingi, na zaidi ya yote, ujumbe wa matumaini uliwasili mikononi mwao.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.

Akizungumza katika tukio hilo, Nancy Ingram aliweka wazi kuwa Meridianbet haihesabu mafanikio kwa faida pekee, bali kwa idadi ya maisha yanayoguswa. Alisisitiza kuwa kusaidia wajane ni sehemu ya dhamira ya kampuni hiyo, kuwapa nguvu wanawake wanaobeba majukumu mazito kimyakimya kila siku.
Wananchi wa Kijitonyama Kisiwani walipokea msaada huo kwa shukrani kubwa, wakionesha kuwa wakati mwingine ushindi mkubwa si ule wa pesa, bali ule wa kujali kuhusu hali ya wengine na kushikana mkono kwenye uhitaji
Kwa Meridianbet, huu ni mwanzo tu. Wanaendelea kusimama mstari wa mbele katika miradi ya kijamii, wakihakikisha kuwa kila ushindi wanaoupata unarudi kwa jamii inayowaunga mkono. Kwa hiyo, unapoweka jamvi lako, inakua si kubashiri tu, hapa unakuwa umeigusa jamii pia.